Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,019
Why unahangaika kumblock!? Akituma text usizisome we delete tu moja kwa moja itachukua mda lakini ye mwenyewe atachoka tu..
![]()
katika pita pita zangu google nkakuta hii kitu...au kafanya hivi???
Hahhaha duuh kumbeee![]()
katika pita pita zangu google nkakuta hii kitu...au kafanya hivi???
kumpa nini?Ulishawapi kumpa?
Sasa umem block kwani unataka kumnyima nini?kumpa nini?
hahhaaaahahaaaSasa umem block kwani unataka kumnyima nini?