Umeuliza swali zuri sana mkuu. Ukweli ni kwamba dunia imetulia katika position yake, jua ndilo huizunguka dunia na kutuletea usiku na mchana. Hii ya kwamba dunia inajizungusha na kulizunguka jua ni uongo.
Naomba tu tukubaliane kutokukubaliana. Mkuu wa majeshi ni mtu mkubwa sana kujishughulisha na mambo kama hayo. Hayo ni majukumu ya IGP
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa. Nashukuru kwa maswali mazuri yenye kufikirisha. Nitajaribu kujibu kwa kadri ya uelewa wangu.
1. Swali hili lilinisumbua hata mimi. Ninachojua ni kuwa kabla ya gharika wanadamu walikuwa giants na walikuwa wakiishi miaka mingi.
Mwanzo 6:1-4
[1]Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi...
Habari zenu wana jamvi. Mara nyingi nimefuatilia threads zinazomshinikiza Mbowe aachie ngazi. Tena hoja zinazotolewa ni za kitoto tu. Halafu nikifuatilia watoa threads naona ni wa mlengo wa kulia. Swali langu ni je, kama kweli kuachia ngazi kwa Mbowe kutakuwa na faida kwa CDM ni kwanini...
Hicho kitabu cha henoko niliwahi kukisoma. Kuna mambo mengi humo si ya kweli. Hasa kuhusu hilo la uasi wa Semzaba. Kitabu cha pili cha Adamu na Hawa ambacho no masimulizi juu ya maisha ya Adamu na hawa baada ya kufukuzwa bustanini. Kinasema kwamba wana wa Mungu walikuwa uzao wa Sethi ambao...
Huyu jamaa ananishangaza. Kila uzi wake ni kuhusu mbowe. Tuseme kwamba wanaCCM wanaposhinikiza Mbowe ajiuzulu wanaipenda sana CHADEMA? kwanini msiache wanachama wenyewe waseme. Mi naona Mbowe ni mwiba mkubwa kwa CCM ndiyo maana kelele nyingi kutoka huko za kumtaka aachie ngazi. CCM haijawahi...
Umenena ukweli mtupu mkuu. Tatizo ni sisi wenyewe. Hatuna mipango madhubuti, hatuna dira wala hatuna mikakati. Hata miradi ambayo tumeachiwa tumeshindwa kuiendeleza. Najaribu kufikiria kama si wakoloni hali yetu ingekuwaje?
Mara nyingi tunawalaumu wakoloni kwa umasikini wetu, lakini sidhani kama...
Power is sweet, it feels good to have power and command other people. I think we all agree with this. The struggles for power have been there since there was a nation. Always people have struggled for supremacy. We read in the Bible and many other books.
Always the ruling class treats the...
huyu jamaa anapenda sifa hadi tumbo linaniuma uwiio_Oo_Oo_Oo_O. yan kiwanda kimeshawekwa jiwe la msingi afu unaenda tena kuzindua, halafu atatwambia kimeanza wakati wa uongozi wake, aise. hebu watanzania tuamkeni, huu ni ujinga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.