Benjamin Juma
Member
- Feb 10, 2017
- 17
- 28
Nchi imekabidhiwa kwa washamba wawili. Wanaweza kufanya lolote na kwa mtu yeyote. Jamaa afanye kujiondokea mapema kabla hawajamzushia mengine.
Jamaa kajipinda kabisa ili kuandika Kiingereza chake cha ugoko; halafu hapo ndio anajionaa, ha ha ha watu wana vituko.Huyo hajui hata maana ya neno hilo grilled kwa kwenye huhojiwa.. mdaku tu full 💀
Au kama Mo alikuambia ukweli?
Ha ha haaa, aibu yao wachawi *****
Hahahahaha hizo hasira sipati picha ungemuona live muhusikaHii peleka JF palace kule ndio kuna wazungu wenzako wa hii lugha.
Huki unatuchosha tu kwanza muandiko mbovu kabisa.
Duh!Hii peleka JF palace kule ndio kuna wazungu wenzako wa hii lugha.
Huki unatuchosha tu kwanza muandiko mbovu kabisa.
It seems you are the one who doesn’t know the meaning of grilledHuyo hajui hata maana ya neno hilo grilled kwa kwenye huhojiwa.. mdaku tu full 💀
I would have resigned,. Only by being suspended,It isn't me alone who has been shocked by news that Police called you for grill.
For grill? simply because MO is your friend and you went at his home to console him as he returned safely to his family after being kidnapped.
That,Police are suspecting you that you're either probably one of the kidnappers or you may know something behind his abduction.
A high profile man like you, a classic and as well a high government official is being suspected in the kidnapping mission.
Beforehand as MO was kidnapped and went missing,Police convened a press conference and briefed the public about the entire saga,on how kidnappers managed to get astray with MO.
They said,the kidnappers were two white men disguised in mask,after a few days they came up by another story, saying that the kidnappers spoke a strange language that's mainly found in Southern Africa.
My Brother, Swahili say,"Soma alama za nyakati".
The big man needs you not anymore.
By My Son Drink Water in Perth
Australia.
Shule za kata sio tatizo. Tatizo ni mwalimu aliyekuwa anaingia kufundisha yai.Kweli kabisa maana ata mm nlikua najiuliza sisi tuliosoma shule za kata ytuliwakosea nini jamani
Makamba
Au kama Mo alikuambia ukweli?
Why should I go to Twitter, who told you I follow him him in twitterNenda Twitter kamuulize
Au labda kashajibu maswali huko
Hivi huyu Masoud anatutafuta nini huyu?! OMG! Nilikuwa najisikia uvivu kwenda kupata msosi lakini sio kwa starter hiziHuku kweli kuumbuka.View attachment 907028
Umesoma January alichoandika kwenye twitter?! Kukusadia ameandika hivi, “Polisi walinipigia simu kuniomba, kama rafiki wa @Moodewji, niwasaidie kama kuna chochote cha ziada ambacho Mo aliniambia kinachoweza kusaidia uchunguzi”. Na hii ilikuwa sio kugrillDo you think were police right to grill him? This is ridiculous?