Jenerali Mabeyo awasili Njombe kufuatilia mwenendo wa matukio ya utekaji na mauaji ya Watoto

Angeuwawa mwanao au mdogo wako ungeina umuhimu wa vyombo vya vyetu kufanya kazi ya haraka na kwa ushirikiano
Ila kwa kuwa iringa huna mtoto basi huu unaweza it a ni matumiz mabaya fedha za kodi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kweli kiumbe wa ajabu sana. Unawezaje kuita sehemu yeyote ya Tanzania kuwa sina ndugu pale?? Ni wapi ambapo siruhusiwi kuoa au kuolewa? Huo ubaguzi wako hautakufikisha mbali. CDF ana sehemu gani katika kuchunguza mauaji?? Usimtwishe zigo la wengine. Kama hao wahusika wameshindwa kazi waondoke wawekwe wenye uwezo wawafurumushe hao magaidi watoke pangoni.
Alipofika akaambiwa, ni mchezo unaochezwa kifamilia. Phtuuu! Sasa ulinzi wa mipaka yetu umekuwa ulinzi wa familia?? Tutamkamata baba mpumbavu aliyeuza mtoto wake tumkamate kwa kutumia kifaru?? We vip?? CDF hana nafasi kuchunguza familia msimshushe heshima yake
 
Kwa hiyo siku hizi jeshi la wananchi linahusika na ulinzi wa ndani. Tutaona mengi kwenye awamu hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni maafa kama maafa mengine na jeshi popote pale kwenye maafa ndani ya nchi linakwenda na kujitolea kwa ajili ya raia wake. Umesahau ya kibiti?

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
Kwa ninavyofahamu mimi mambo hayo ni kazi ya jeshi la polisi. Jeshi la wananchi kazi yake ni kulinda mipaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ninavyofahamu mimi mambo hayo ni kazi ya jeshi la polisi. Jeshi la wananchi kazi yake ni kulinda mipaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Majeshi ya ulinzi yako tayari, yanatoa ushirikiano kwa mamlaka nyingine kwenye maafa majanga, muda wowote ule hayana mipaka.

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
Majeshi ya ulinzi yako tayari, yanatoa ushirikiano kwa mamlaka nyingine kwenye maafa majanga, muda wowote ule hayana mipaka.

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Naomba tu tukubaliane kutokukubaliana. Mkuu wa majeshi ni mtu mkubwa sana kujishughulisha na mambo kama hayo. Hayo ni majukumu ya IGP

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba tu tukubaliane kutokukubaliana. Mkuu wa majeshi ni mtu mkubwa sana kujishughulisha na mambo kama hayo. Hayo ni majukumu ya IGP

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ukubwa wake utamsaidia nini ikiwa hao raia anaowalindia mipaka ndio wanakufa kila kukicha? Je unajua kati ya hao watoto wanaofariki ni nani kati yao atakuja kuwa kuwa nani miaka ijayo? Hiyo ni sehemu yake ya kazi na hapo anatoa msaada na ushirikiano kwa vyombo vingine vya dola ni sehemu ya jukumu lake wakati wa amani kutoa msaada kwenye maafa.

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
Waziri Lugola yupo wapi? IGP? Huyu CDF hana kazi za kufanya huyu?
Waziri LugolaYule ni mwanasiasa. Ogopa sana wanasiasa maana wao ni waongeaji tu na sio watatuaji wa matatizo yote zaidi ya kujijengea nafasi ya kupata kura/kula.

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
Kwa hiyo siku hizi jeshi la wananchi linahusika na ulinzi wa ndani. Tutaona mengi kwenye awamu hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wajibu wa Jwtz

Ulinzi wa mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kushirikiana na mamlaka za kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoaji wakati wa maafa

Kushiriki ulinzi wa amani
Afande CDF yupo sawa kabisa!!

5/5
 
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo amewasili Mkoani humo kufuatilia mwenendo wa oparesheni ya kifuatilia matukio ya utekaji na mauaji ya Watoto

Mkoani humo kiliundwa kikosi kazi maalumu cha kuchunguza na hatimaye kukomesha mauaji hayo ya kinyama

Jenerali Mabeyo amesema uchunguzi wa awali unaonesha matukio hayo yanafanywa kifamilia zaidi

Ameongeza kuwa ni lazima yadhibitiwe ili yasiwafikie watu wengi zaidi
Kamwe ukweli wa matukio hayo hautasemwa.
Na nawaambia kwa kipindi hiki mpaka mwakani tuyatarajie mengi mno.
Kwani Moja ya kundi linaloongoza kwa ushirikina ni Viongozi wetu, na sasa wanaelekea katika uchaguzi next year.
Hivyo soon mtaanza kuwasikia Under the same sun wanalalamika bila kupatilizwa.
Mola wetu mlezi awahifadhi wale woote wanaolengwa na hawa watu.

Sasa Ajabu ya huyu mwanadam. Hapa kapewa kaumri kafupi mno, hebu fikiri kidogo
Hapa ameahidiwa miaka 60 mpka 70 na wachache mno wakaovuka hapo,
Sasa vurugu zooote hizi anapambania hivyo vi miaka kadhaa, anasahauuu huko aendako kuna ENDLESS LIFE.
NI MAISHA AIDHA MAZURI AU MABAYA FOREVER.
ASIJISAHAU MTU.
 
Kwa majibu yako umedhiirisha ukilaza wako,kasome majukumu ya mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama then ndio uje kubisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
acheni ubishi..
kazi za jwtz zinajulikana na zipo kikatiba
ili kufanya kazi za wizara ya mambo ya ndani jwtz inaitaji kibali kutoka kwa cic hata waziri awezi kuwaidhinisha! chain of command ni ndefu lkn chini ya dk5 ishamfkia cic
ishu kama hiyo chochote kinawezekana.... myb wameona kuna umuhimu huo au amepitia tuu kuwafariji victims (kulingana na nafasi yake kiprotokali anaweza akaambiwa hali ya usalama ilivo na akashauri)

igp cdf wote wanaripoti kwa cic mojakwa1 wote ni wateule wake hamna bosi wa mwenzie maana wapo wizara tofauti!!!

kama umaswali uliza......
usinibishie unaeza kuendelea kuamini unachokiamini
 
Wajibu wa Jwtz

Ulinzi wa mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kushirikiana na mamlaka za kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoaji wakati wa maafa

Kushiriki ulinzi wa amani
Afande CDF yupo sawa kabisa!!

5/5
ulinzi wa amani nje ya nchi!! MBONA HUJAMALZIA HAPO?
 
Back
Top Bottom