Recent content by Benitez Hadramu

  1. Benitez Hadramu

    Napenda nijue ratiba ya minada ya huko Katavi

    Ahsante sana kwa ushauri wako kaka ngoja nitalifanyia kazi hilo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Benitez Hadramu

    Napenda nijue ratiba ya minada ya huko Katavi

    Ahsante kwa ushauli kwa hiyo unamaanisha biashara ya kule ni mwezi wa 5 hadi wa 12 na tofauti na hapo yadi january hadi may ni mwendo wa kilimo tu sio Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Benitez Hadramu

    Napenda nijue ratiba ya minada ya huko Katavi

    Niko tayari cha msingi tu kuwa na umoja pamoja na uaminifu ktk kazi maana maisha ni kusaidiana maana huenda yeye kuna meng anayajua kuhusiana na biashara iyo uku mm siyajui kwa hiyo maisha ni kuinuana ndugu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Benitez Hadramu

    Napenda nijue ratiba ya minada ya huko Katavi

    Ndugu wapendwa poleni sana katika harakati za hapa na pale za siku ya leo. Napenda kufahamu watu wa mkoa wa katavi humu kama wamo ili tujuane maana nilikuwa napendekeza nijue ratiba ya minada ya huko Katavi. Na kingine ningependa kupata mtu mzoefu na mpambanaji na mwenye kiu ya utafutani au...
  5. Benitez Hadramu

    Hivi viatu vya 3000 huwa vinatoka wapi? Nataka niingie kwenye biashara ya viatu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Benitez Hadramu

    Kilimo cha mahindi mkoa wa Katavi

    Ahaaa ahsante Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Benitez Hadramu

    Kilimo cha mahindi mkoa wa Katavi

    Ahaaa oky vzuri vipi ya kuchoma yenyewe naweza nikapata Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Benitez Hadramu

    Kilimo cha mahindi mkoa wa Katavi

    Habari wakubwa natumaini wazima nimeleta uzi huu mnisaidie kimawazo. Mimi ni kijana wa miaka 24 nimejaribu kuishi katika mazingira tofauti katika nchi ya Tanzania katika shughuli mbalimbali za kutafuta maisha lakini bado sijapata mafanikio yeyote. Kwa hiyo nimekaa na kufikiria nikaona bola...
  9. Benitez Hadramu

    Kweli mtaji wa masikini ni nguvu zake?

    Story yako nimeipenda sana hakika nimejifunza kitu aisee ubalikiwe sana Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Benitez Hadramu

    Mwaka wa uchaguzi umefika, tujikumbushe sera na ahadi za CCM zilizofeli

    Viwanda vimejaa vya utekaji tu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Benitez Hadramu

    Naomba ushauri, nimeamua kufanya kilimo kama ajira

    Mkuu umenitoa ktk usingizi aisee ata mm natamani nikapambane ktk kilimo ila bado sijapata chanel nzuri vipi tunaweza kuungana ktk harakati izoo
  12. Benitez Hadramu

    Barabara ya kutokea Rusumo haipitiki kwa siku mbili sasa

    Fanyeni uteuzi ktk vyama Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Benitez Hadramu

    Barabara ya kutokea Rusumo haipitiki kwa siku mbili sasa

    Wanajua wao Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom