Mwaka wa uchaguzi umefika, tujikumbushe sera na ahadi za CCM zilizofeli

Chifyono

JF-Expert Member
Oct 16, 2017
921
1,658
Wanabodi, itifaki imezingatiwa

Awamu ya tano inayoongozwa na serikali ya CCM chini ya rais John Magufuli kipindi cha kampeni mwaka 2015 ilikuja na kuzihubiri sera zake nyingi na nzuri zenye kutia matumaini kwa wananchi mpaka kushawishika na kuchaguliwa kwamba zitaleta maendeleo kwa wananchi na nchi kwa ujumla kufikia uchumi wa kiwango cha kati

Nachoweza kusema hapa ni kwamba tunaelekea kuuanza mwaka 2020 ambao ni mwaka wa uchaguzi mkuu, CCM chini ya Magufuli inaende kutimiza miaka mitano. Tuliahidiwa mengi lakini hakuna utekelezwaji na hata kama utelezaji upo basi ni failure!

Ni vema tuwakumbushe hawa CCM kwamba hizi sera zao zimefail na hazitekelezwi kama ilivyohubiriwa

•Elimu bure
Sera hii ni failure kwa zaidi ya asilimia 80, kwani imekuwa ni bora elimu na si elimu bora
wameongeza idadi ya wanafunzi wanaoandikishwa kuanzia primary mpaka secondary, pia wamejenga shule na kuongeza majengo lakini walimu hakuna though walimu wamejaa mtaani tangu walipomaliza vyuo mwaka 2015
Darasa moja linakaliwa na wanafunzi zaidi ya 300 hii ndio elimu tuliyoaidiwa?

•Milion 50 kila kijiji
Huu ulikua ni uongo wa wazi kwa Watanzania, naweza kusema hii ndio sababu pia iliyowafanya CCM kutokujiamini katika uchaguzi wa serikali za mitaa kwa hofu ya kupoteza mitaa kwani waliahidi kutoa pesa na mpaka sasa hawajafanya hivyo..wananchi watahoji 2020

•Tanzania ya viwanda vya kuzalisha bidhaa mbalimbali
Sera kubwa iliyotawala kampeni 2015 ilikuwa ni tanzania ya viwanda ambavyo vingeajiri maelfu ya watanzania, mpaka sasa hakuna cha viwanda wala ajira zinazotokana na viwanda pia hakuna bidhaa yoyote ambayo ni made in tanzania, failure!

•Kilimo ndio kimesahaulika
Si mbaazi, pamba, mahindi wala korosho katika unafuu wa bei na masoko! serikali hii imeua masoko ya mazao ya biashara. Kabla ya awamu hii Mbaazi ilikuwa inauzwa zaidi 1000 kwa kilo, lakini huyu bwana alipoingia iliuzwa mpaka 300. Hii ni kwa mazao yote. Pia hakuna pembejeo za kilimo ni porojo tu kwa wananchi.

• Mahakama ya Mafisadi
Hakika kila mtanzania aliipenda hii kwani tumechoka kuibiwa
Tuliaminishwa itaundwa mahakama special kudili haya mafisadi lakini mpaka leo kesi bado zinasikilizwa kisutu
Mafisadi waliyokuwa wanayasema (Lowasa, Tibaijuka, Chenge et al) bado yanadunda mitaani tu, hii ni failure!

Hoja zako zoooote no za kisiasa hasa za kipinzani na upinzani wenyewe ni ule upinzani Wa kupinga kila kitu,,,,,, watanzania tunaona hatusubiri kuambiwa na wanasiasa Wa aina yenu,, kwa stahili hiii hamtaweza kuipiku CCM
 
huna akili
 
Bora tungemchagua HAshim Rungwe, sera zake kidogo zilikuwa nzuri. Sera kila wiki kila mtanzania atakuwa anakula kuku mmoja mzima kwa ajiri ya kuboresha na kuimarisha afya zao
 
Wanabodi, itifaki imezingatiwa

Awamu ya tano inayoongozwa na serikali ya CCM chini ya rais John Magufuli kipindi cha kampeni mwaka 2015 ilikuja na kuzihubiri sera zake nyingi na nzuri zenye kutia matumaini kwa wananchi mpaka kushawishika na kuchaguliwa kwamba zitaleta maendeleo kwa wananchi na nchi kwa ujumla kufikia uchumi wa kiwango cha kati

Nachoweza kusema hapa ni kwamba tunaelekea kuuanza mwaka 2020 ambao ni mwaka wa uchaguzi mkuu, CCM chini ya Magufuli inaende kutimiza miaka mitano. Tuliahidiwa mengi lakini hakuna utekelezwaji na hata kama utelezaji upo basi ni failure!

Ni vema tuwakumbushe hawa CCM kwamba hizi sera zao zimefail na hazitekelezwi kama ilivyohubiriwa

•Elimu bure
Sera hii ni failure kwa zaidi ya asilimia 80, kwani imekuwa ni bora elimu na si elimu bora
wameongeza idadi ya wanafunzi wanaoandikishwa kuanzia primary mpaka secondary, pia wamejenga shule na kuongeza majengo lakini walimu hakuna though walimu wamejaa mtaani tangu walipomaliza vyuo mwaka 2015
Darasa moja linakaliwa na wanafunzi zaidi ya 300 hii ndio elimu tuliyoaidiwa?

•Milion 50 kila kijiji
Huu ulikua ni uongo wa wazi kwa Watanzania, naweza kusema hii ndio sababu pia iliyowafanya CCM kutokujiamini katika uchaguzi wa serikali za mitaa kwa hofu ya kupoteza mitaa kwani waliahidi kutoa pesa na mpaka sasa hawajafanya hivyo..wananchi watahoji 2020

•Tanzania ya viwanda vya kuzalisha bidhaa mbalimbali
Sera kubwa iliyotawala kampeni 2015 ilikuwa ni tanzania ya viwanda ambavyo vingeajiri maelfu ya watanzania, mpaka sasa hakuna cha viwanda wala ajira zinazotokana na viwanda pia hakuna bidhaa yoyote ambayo ni made in tanzania, failure!

•Kilimo ndio kimesahaulika
Si mbaazi, pamba, mahindi wala korosho katika unafuu wa bei na masoko! serikali hii imeua masoko ya mazao ya biashara. Kabla ya awamu hii Mbaazi ilikuwa inauzwa zaidi 1000 kwa kilo, lakini huyu bwana alipoingia iliuzwa mpaka 300. Hii ni kwa mazao yote. Pia hakuna pembejeo za kilimo ni porojo tu kwa wananchi.

• Mahakama ya Mafisadi
Hakika kila mtanzania aliipenda hii kwani tumechoka kuibiwa
Tuliaminishwa itaundwa mahakama special kudili haya mafisadi lakini mpaka leo kesi bado zinasikilizwa kisutu
Mafisadi waliyokuwa wanayasema (Lowasa, Tibaijuka, Chenge et al) bado yanadunda mitaani tu, hii ni failure!

Chifyono
Viwanda vimejaa vya utekaji tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom