Recent content by BENCO

  1. BENCO

    Nyimbo za Diamond zinaweza kuchochea ongezeko la maambukizi ya UKIMWI; Ni janga la kitaifa

    Kuna watu ni bure kabisa kichwani!Hii ni hasara kwa Taifa na hatutoweza kuendelea kwakuwa na watu wenye mawazo mepesi kama haya. Hivi ni kweli wimbo tu ukufanye uhamasike kupata ukimwi.Sisi watanzania tunajiaibisha kwakweli.
  2. BENCO

    Taasisi ya dini inavyojipotezea heshima nchini Tanzania!

    Kazi ya kiongozi wa dini ni kuwaongoza waumini wake kimwili na kiroho. Ikiwa uovu unatamalaki miongoni mwa watu tuliowapa dhamana kwa nini wasiseme!Haitokuwa na maana kuhuburi utimamu wa rohoni ilihali uchafu wa waumini wako ni mkubwa.Hao viongoz ni waumini ktk hayo makanisa.Wanapaswa kuwa...
  3. BENCO

    Kwako Waziri Jafo na wizara ya TAMISEMI

    Kumekuwa na shida kubwa ya uhamisho mwaka huu, kwanza majina yanatoka kwa kusuasua na hata yakitoka basi ni machache mno. Na inashangaza kuona hata uhamisho wa kubadilishana nao umekuwa ni tatizo. Hebu basi mliweke wazi hili suala tujue kama mmesitisha zoezi la uhamisho au la! Binafsi...
  4. BENCO

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Yaani uhamisho sa ivi umekuwa wa kisanii sana kama bosi wao
  5. BENCO

    TAMISEMI yatoa majina mapya ya uhamisho Februari 2018

    Tamisemi sa ivi ni magumashi kichizi
  6. BENCO

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Na hata hiyo mikoa waliyotoa ni majina machache sana yaliyotolewa,unakuta wilaya nzima majina mawili tu au hata mkoa mzima majina mawili
  7. BENCO

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Yanaudhi kupita maelezo,huyu waziri mwenye hii wizara kashindwa kazi! Hata uhamisho wa kubadilishana nao ni ishu!Majina yanatoka kwa kunyatia jamani
  8. BENCO

  9. BENCO

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Hata hiyo mikoa waliyotoa, ina watu wachache saana
  10. BENCO

    TAMISEMI yatoa majina mapya ya uhamisho Februari 2018

    Yaani kuhama imekuwa kama kamari
  11. BENCO

    Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

    Watanzania sisi ni wachawi, hatupendi maisha mazuri ya wengine na hatuko tayari kujifunza na kuthubutu,
  12. BENCO

    Uhaba mkubwa wa waalimu wa primary, serikali ajirini walimu hali ni mbaya!

    Hapa ishu si kupunguza walimu wa sekondari, bali ni kuajiri wapya sabu kila mwaka idadi ya wanafunzi wanaongezeka kidato cha kwanza. Hivyo itafika kipindi uhaba wa walimu sekondari utakuwa mkubwa kuliko unavyonifikiria
  13. BENCO

    Walimu wa secondary kwenda msingi serikali inakwepa nini

    Unapopunguza watu kwenda sehemu nyingne jiulize huko Unakopunguza wanafunzi wanapungua au wanaongezeka. Tiba sahihi ni kuwekeza kwe elimu ili iwe bora na sio short cut
  14. BENCO

    OR-TAMISEMI badilikeni kuhusu kero ya watumishi kuhama au mnataka hadi Rais aingilie kati?

    Kikubwa ujumbe umefika, wahusika wabadilike
  15. BENCO

    OR-TAMISEMI badilikeni kuhusu kero ya watumishi kuhama au mnataka hadi Rais aingilie kati?

    Hii wizara watendaji wake hawajielewi utadhani wanajitolea kumbe wanalipwa pesa kila mwezi pengine na posho juu
Back
Top Bottom