Kwako Waziri Jafo na wizara ya TAMISEMI

Kwako Waziri Jafo na wizara ya TAMISEMI

BENCO

Senior Member
Joined
Nov 27, 2013
Posts
107
Reaction score
11
Kumekuwa na shida kubwa ya uhamisho mwaka huu, kwanza majina yanatoka kwa kusuasua na hata yakitoka basi ni machache mno. Na inashangaza kuona hata uhamisho wa kubadilishana nao umekuwa ni tatizo.

Hebu basi mliweke wazi hili suala tujue kama mmesitisha zoezi la uhamisho au la!

Binafsi sifurahishwi na ukimya wenu ilihali ni suala la msingi na haki kwa mtumishi yeyote kuhama ilimradi tu amefuata taratibu zote zinazostahili.Ikiwa kama tatizo ni pesa za kutumia hivyo vibali kwa mkupuo ndo zinasumbua basi hebu mziattach hizo barua kwe kila jina la mtumishi ili aidownload na kuendelea na taratibu nyingine.Ukifanya hivyo itasevu muda na ni gharama nafuu.

Nawasilisha.
 
Awamu hii inachukulia kuhama ni "upiga dili". Hivyo ukimya wao ni kwasabb hawapendi watu wahame.
 
Back
Top Bottom