Recent content by ben genious

  1. B

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo matokeo ya kukimbia shule, masikini CHADEMA...

    Hivi ninyi mko hapa mnamsubiri nape mkitegemea atarudi? thubutu! pengine keshampigia simu mnyika kuomba yaishe maana ataumbuka
  2. B

    JamiiForums Tanzania DC Mbarali apigwa mawe, anusurika kifo!

    hivi vyeo kupeana tunalia kila siku vifuwe,havina tija kabisa
  3. B

    JamiiForums Tanzania Dokta Slaa aitisha Press Conference Iringa!

    mbona kasepa? isijekuwa chai
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ripoti Maalum: Utetezi wa Tundu Lissu (MB) mbele ya kamati ya Haki na Maadili ya bunge

    kwenye hoja nzito kama hizi huwezi kuwaona bongo lala wachumia tumbo wa Nape, Ritz na rejao, wote wamekimbilia jukwaa la mapenzi.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CUF, viongozi wa CCM na wanachama zaidi ya 890 wahamia CHADEMA

    Mjomba nimerudi baada ya kunisababishia ban ya miezi sita, vp wap ff mbona simuon? naona bado hujabadlika sasa hiv nategemea unisababishie life ban
  6. B

    JamiiForums Tanzania M4C ndani ya Ndanda ~ Masasi

    big up kwa team ya ushindi Mungu atawalinda kwa ajili ya watanzania
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kazi za Dr Slaa Kusini zawasisimua wengi

    nimeshindwaga kabisa kuelewa baadhi za akili za watanzani hawayaoni haya, kama ziko sawa?hiv kwa nn ubinafsi umewajaa? Ritz na rejao wafikirini ndugu zenu vijijini msiridhike na viposho mnavyopea na nape kuweni na utu
  8. B

    JamiiForums Tanzania JF ninaomba sala zenu leo ni kura za maoni!

    tatzo chama chako kimefungiwa dunian na mbinguni, hivyo hatujisumbui kukuombea maana sala haitapo haitopokelewa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Namhusudu sana MBOWE!!

    ndio wa kwanza kuasisi u kamanda wa anga wakamponda sana ila sasa kila chama wanaiga
  10. B

    JamiiForums Tanzania Namhusudu sana MBOWE!!

    huyo ndiye aliyeasisi ukamanda wa anga, magambaz wakauponda lakini sasa ndio wanaiga
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wapenzi na mashabiki wengi wa CHADEMA hawamuamini tena Zitto Kabwe?

    Hakuna siri ktk UTANDAWAZI,, kuhusu Zitto ni kwamba aliteuriwa kuwa mwnykt wa kamati ya madini akaenda na wenzake kwenye migodi ya Buzwagi na Bulyanhulu huko Synyng wakagawana kazi yeye kaenda peke yake Buzwagi mgodi ulio na matatizo ya ufisadi hatimaye wakamtuliza kwa kumpa rushwa. Inaaminika...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!

    Rais JUHA ni aibu kwa Taifa..................Ivi CCm ikipigwa chini 2015 makada, viongozi wa chama nao mafisadi watakimbilia WAPI??????
  13. B

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!

    Tatizo sio Rais ila ni Wananchi Wake waliomchagua, ndio maana hawa walio teuriwa kuwa mabalozi walikataliwa na wananchi lkn bado wapo madarakani.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!

    Dah hii ni zaidi ya balaa............ Kwani JK hakuwaona wengine adi hawa walioexpire. kweli hii ni serikali ya kishikaji. AU inawezekana mkuu wenu huyu hakusoma Philosophy 111 (critical thinking and argumentation)
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kikao kati ya CHADEMA na Serikali (Ikulu) chaisha, makubaliano haya hapa!

    vipengele vipi vitaongezwa! je inaruhusiwa kuongeza au kupunguza vipengere vilivyopitishwas na bunge? makamanda watakuwa wamepigwa changa la macho
Back
Top Bottom