Kazi za Dr Slaa Kusini zawasisimua wengi

nimeshindwaga kabisa kuelewa baadhi za akili za watanzani hawayaoni haya, kama ziko sawa?hiv kwa nn ubinafsi umewajaa? Ritz na rejao wafikirini ndugu zenu vijijini msiridhike na viposho mnavyopea na nape kuweni na utu
 
Tusiwatukane mkuu bali tuwasaidie. Kama kusini wamebadilika nini kitawashinda hawa?
 
Dr Slaa ni mtu mwenye heshima sana na bidii ya kazi. Hakuna mtu ndan ya ccm anayeweza hata kusogelea. Ukitaka kucheka jaribu kumfananisha na W.Mkama, yule babu anayejua misamiati ya kiingereza tu, wakati chama kinazama kwenye kilindi.
Big up Dr Slaa, una hazina ya heshima nyingi toka kwangu.

Huwa ninashangaa sana kigezo kilichotumika kumpa Mukama uongozi mkubwa CCM.
 
Katibu mkuu wa CDM Dr
Wilbroad Slaa ameelezwa kuwa mpiganaji asiyechoka kutokana na kazi kubwa
anayofanya huko kusini tangu CDM ianze operesheni Okoa Kusini wiki moja
iliyopita.

Taarifa kamili zinasema Dr Slaa amekuwa akihutubia mikutano mitatu kila
siku ambapo kwa siku zote hali chakula chochote mchana kutokana na
kubanwa na muda.

Baada ya mikutano Dr Slaa anaongoza mikutano ya ndani mpaka saa 6 usiku
na kisha anakuwa wa kwanza kuamka na kuwaamsha vijana wake waanze siku
nyingine ya mapambano.

Imedaiwa pia kabla ya kila mkutano Dr Slaa anazindua matawi katika mitaa
yote ya eneo husika.

Source: Kamanda Mwesilwa Perfect aliyeko kikosi kinachoongozwa na
Dr Slaa katika operesheni okoa kusini.

Mungu isaidie tz ije iongozwe na raisi mwenye akili sana dk slaa.
 
Slaa hata Mungu atakuchukua leo, thawabu yako njema utaikuta mbinguni. Hata hivyo sote kwa ujumla wetu tunakuombea kwa Mwenyezi Mungu, akulinde mpaka utakapokabidhiwa nchi na kupanga WHITE HOUSE MAGOGONI.
 
Dr. Slaa, Mbowe and Colleague wanafanya kazi nzuri sana katika ukombozi wa nchi yetu.Nakuombeeni kwa Mwenyezi Mungu awe ni mwenye kuwapa moyo wa kufanya mengi zaidi na ujasiri:israel::bange:
 
Dr. Slaa, Mbowe and Colleague wanafanya kazi nzuri sana katika ukombozi wa nchi yetu.Nakuombeeni kwa Mwenyezi Mungu awe ni mwenye kuwapa moyo wa kufanya mengi zaidi na ujasiri:israel::bange:
 
Ndo maana wa tz waliowengi tulimchagua kwani tulijua kuwa ndo jembe la kulima ufisaddi
...HAKUNAGA KULA MPAKA......
SAFARI HII HAKI YA mUNGU HAPONI MTU....
 
Back
Top Bottom