Recent content by Ben Carlson

  1. Ben Carlson

    Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

    Nimesoma hii thread dah inauma sio siri. Sote tuna njia moja tujitafakari kwa kila tulitendalo tusijisahau maana mudawetu duniani ni mchache tuendako kuna makazi ya milele yenye tabu kwa waliomkosea mungu na kuwakosea binadamu wenzake pia kuna raha kwa aliemfurahisha mungu na kutenda yalio mema...
  2. Ben Carlson

    Maajabu ya Busu/Romance/Denda

    Nitaisoma usiku sahizi nimefunga
  3. Ben Carlson

    Mtoto wa kinyarwandaa chuoni mwenge

    Take a minute and say "SAY NO TO WEED" utaache wenge
  4. Ben Carlson

    Maswali ya kijinga hujibiwa kijinga.

    ni rafiki yangu toka utotoni tumecheza wote
  5. Ben Carlson

    Maswali ya kijinga hujibiwa kijinga.

    Unajibu kwa ukauzu tu............. Niko zangu nje naanika mtama juani
  6. Ben Carlson

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Tunaosubiri futari tukae wapi na like zetu!
  7. Ben Carlson

    Nabii Tito aokoka na kujazwa Roho Mtakatifu

    Halafu sikuhizi anakaa kinondoni 😂😂
  8. Ben Carlson

    Leo nitafurahi na kushukuru nikielimishwa vizuri kabisa juu ya hili

    Jamaa unataka kuwa kibaka au!! Uzi wa pili huu nauona umeandika kuhusu vibaka
  9. Ben Carlson

    Mbwana Samatta atajwa kuwa ni mkenya

    Hivi Jiwe halioni hili hata kidogo!! hebu afanye kuomba vita ya kirafiki tuwaonyeshe adabu mdomo hausaidii.
  10. Ben Carlson

    Polisi waua majambazi 4 na kukamata wengine 19

    Vipi mkuu polisi hamna hata mmoja alietoka hata jino! Nimeuliza tu!!🙄🙄
  11. Ben Carlson

    Unayopaswa kuyafahamu kuhusu Filamu mpya ijayo ya James Bond.Mtz Lupita ndani!

    Vita vyao vya masuala ya mahusiano watahamishia kwako. Ngoja wasikie Lupita
  12. Ben Carlson

    Kuhudhuria Msiba wa Kibaka ' Maarufu ' Mtaani ni Kujitafutia Thawabu au Laana zaidi kutoka kwa Mwenyezi Mungu?

    Wengine wanaenda kuhakikisha kama kafa kweli na kumshukuru mungu kaondoa shida
  13. Ben Carlson

    10 kortini kwa wizi wa Sh59.9 milioni za CRDB

    Tazara oilcom ni wapi?? Au kuna Tazara nyingine
  14. Ben Carlson

    Punyeto haifai kiafya ndugu zangu

    Kale kamchezo katamu kweli, Subiri dakika mbili kwanza maana hamu imenijia bora hata usingeleta huu uzi.
Back
Top Bottom