Mbwana Samatta atajwa kuwa ni mkenya

Mbwana Samatta atajwa kuwa ni mkenya

sawa kuna ubaya gani kuwa mkenya mbona wakina mo na baharesa mnawatangaza watanzani wenye asili ya asia na samatta labda anaasili ya kenya
 
Wakenya wanapenda mteremko sana. Wenyewe wameona mzungu kawajengea kila kitu wanataka kulinganisha na sisi tuliojenga wenyewe. Na ndio maana hata sishangai ninapoona mambo kama hayo hawana namna nyingine ya kujitangaza. Wao kuiba iba ndio hulka yao.
Ulichojenga mwenyewe kiko wapi? Miradi yote in mikopo ya Mabeberu
 
Na Watanzania tumezidi kuwa na inferiority complex. Kitu kidogo tu tunalalamika kama Zahera
 
Wakenya wanachukua maparachichi yetu wanasema yao...sembuse Samatta? sasa hivi utaskia na Maxence Mello ni mjaluo..ngojeeeni
 
Watanzania habari zenu hii habari mm imenigusa sana, Captain wa timu ya Taifa #TaifaStars na mshambuliaji tegemeo wa Club ya Genk ya kule Belgium na mtoto wa Mbagala Dsm, kuripotiwa na vyombo vya nje kuwa ni Mkenya hii #Tff mnayo habari?
Na Je? Kwenye habari kama hizi tff mnachukua uamuzi gani au mnafanya nini?
Juzi timu ya Captain @Samagoal77 imechukua Ubingwa wa ligi ya Belgium Je? TFF mmetoa salamu za pongezi zozote kwa Club ya soka ya Genk? Kwa sababu tuna mahusiano nao kupitia Captain na mchezaji Mbwana Samatta.
WATANZANI TUAMKE KUNA SIKU TUTASIKIA Nchi ya Tanzania tumeikopa Kenya Mlima kilimanjaro na Mbuga za wanyama tumekopeshwa .View attachment 1101272
Nenda mahakaman kafungue kesi mahakama ya Africa mashariki,
 
Na sisi Lupita wetu Origi wetu wasituzingue ,sijui tumchukue tanasha na akothee wao tuwape mariam birian na miss sepetu?
Hao tuwape Mariam birian na Amber ruty ndio wanawafaa
 
Sio kawaida mtanzania kufanya vizuri vile, dunia haiamini katika hilo... na sio mara ya kwanza kwa Samatta hata enzi yupo TP Mazembe alivyotwaa ufungaji bora Champions League alitajwa kwa kukosewa uraia.
Namshauri abadili uraia kama anataka heshima anayostahili.
 
Watanzania habari zenu hii habari mm imenigusa sana, Captain wa timu ya Taifa #TaifaStars na mshambuliaji tegemeo wa Club ya Genk ya kule Belgium na mtoto wa Mbagala Dsm, kuripotiwa na vyombo vya nje kuwa ni Mkenya hii #Tff mnayo habari?
Na Je? Kwenye habari kama hizi tff mnachukua uamuzi gani au mnafanya nini?
Juzi timu ya Captain @Samagoal77 imechukua Ubingwa wa ligi ya Belgium Je? TFF mmetoa salamu za pongezi zozote kwa Club ya soka ya Genk? Kwa sababu tuna mahusiano nao kupitia Captain na mchezaji Mbwana Samatta.
WATANZANI TUAMKE KUNA SIKU TUTASIKIA Nchi ya Tanzania tumeikopa Kenya Mlima kilimanjaro na Mbuga za wanyama tumekopeshwa .View attachment 1101272
Huenda jina la nchi yetu ni gum kuliko Kenya.
 
Mkuu usipate tabu Sammatta atakuwepo Misri ndipo Dunia yote watajua ila sie Lupita Nyog'o ni Mkurya wa Musoma Mara Tanzania.Ukipiga ya Jicho unapigwa ya Sikio.Samagoal ni Mtanzania na huo Mtandao ni wa Kenya.
Mkuu Lupita Nyong'o ni mjaluo umekosea kidogo na aweza kuwa na wajomba hapo Shirati, Utegi, uchila, Butuli nk
 
Mkuu usipate tabu Sammatta atakuwepo Misri ndipo Dunia yote watajua ila sie Lupita Nyog'o ni Mkurya wa Musoma Mara Tanzania.Ukipiga ya Jicho unapigwa ya Sikio.Samagoal ni Mtanzania na huo Mtandao ni wa Kenya.
Lupita c mkenya??
Kuna yule mdada wa into the Badlands ndiye Mbongo.
 
Ulichojenga mwenyewe kiko wapi? Miradi yote in mikopo ya Mabeberu
Kafanye uchunguzi tena. Sawa hata kama ni mikopo ila miradi imesimamamiwa na watanzania tofauti na nyie miundombinu mingi mmeikuta.

Bado unabisha?
 
Potelea mbali
IMG-20190518-WA0011.jpeg
 
Huo utani unafanyika sana huko Twitter
Nakumbuka makamba alishamtaja Lupita Nyong'o kuwa Mtanzania

Mariga wakamtaja tena kuwa Mtanzania, so sio kitu seeious kihivyo hadi uanze kuleta mambo ya TFF, uraia wa Samatta unafahamika hadi FIFA ndio maana hataweza kuchezea Kenya hata akitaka
 
Back
Top Bottom