Mjadala wa Kijamii: Je, kuhalalishwa kwa biashara ya ukahaba kunaweza kupunguza matukio ya ubakaji hapa Tanzania?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
UTANGULIZI UBAKAJI WA TELEZA: https://www.jamiiforums.com/threads...-unyama-wa-teleza-dhidi-ya-dada-zake.1586785/

Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Leo swali langu ni hili;

Je, kuhalalishwa kwa biashara ya ukahaba kunaweza kupunguza matukio ya ubakaji Tanzania??????

Nimeuliza hivi kwa maana kwamba, kuna baadhi ya nchi za ulaya na Marekani zimefanya utafiti na kugundua ya kwamba kuhalalisha ukahaba umepelekea kupunguza vitendo ya ubakaji mpaka kwa 35% soma hapo chini;
IMG_20190527_130538_068.jpg


OUR MOTTO
=========
KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. JIULIZE MPAKA SASA UMEIFANYIA NINI NCHI YAKO??
IMG_20190110_113120_330.jpg
 
UTANGULIZI: https://www.jamiiforums.com/threads...-unyama-wa-teleza-dhidi-ya-dada-zake.1586785/

Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Leo swali langu ni hili;

Je, kuhalalishwa kwa biashara ya ukahaba kunaweza kupunguza matukio ya ubakaji??????

OUR MOTTO
=========
KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. JIULIZE MPAKA SASA UMEIFANYIA NINI NCHI YAKO??View attachment 1109188
Kupunguza au la, kunategemea sababu zinzopelekea MTU abaka. Wale wanaoshawishika Kwa sababu za kushirikiana hawataacha kubaka...
 
Mkuu "IS" ni wewe kweli au umedukuliwa?
Ubongo wako hauko hivi
Huyu ni mimi Infantry Soldier mkuu. Sioni cha ajabu nilichoandika. Suala la ukabaha ni suala mtambuka sana na linalohitaji mjadala wa Kijamii ili tujue kama tunahitaji sheria rasmi itakayokataza biashara hii ama kuhalalisha.

Acha tusikilize wananchi wanasemaje.
 
Biasahara hii ikiharalishwa Serikali itakusanya kodi nyingi sana.
 
Isihalishwe maana mtakuwa mnawaonea tu dada zetu wanafanya iyo kazi sababu ya shida tu na sio kama wanapenda
 
KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. JIULIZE MPAKA SASA UMEIFANYIA NINI NCHI YAKO??

HILI SWALI UNGEMUULIZA JIWE KABLA HAUJATUULIZA SISI, MAANA YEYE NDIE ANAJUA KAIFANYIA NINI TZ HADI KUSEMA KUWA UCHUMI UMEKUA, KUTUULIZA HILO SWALI SIYE NI SAWA TU KAMA UNATUONEA MKURU
 
Back
Top Bottom