Recent content by beluga

  1. B

    Bila Mbowe, Lipumba, Mbatia Slaa na Maalim Seif Kuachia Ngazi

    Huyu makonda akili zake ni mbovu zaidi kuliko wapiga debe
  2. B

    Msaada kuku aina ya kuroiler

    Wanajamvi habari zenu, Ni wapi hapa Dar ninaweza kupata vifaranga vya kuku aina ya kuroiler? Naomba kujuzwa au contact za muuzaji please.
  3. B

    "Nitakufanyia Umafia" Nini maana ya neno Mafia? Kwanini Mafia?

    Pia tukiacha kuhusianisha na maswala ya kiuhalifu ambayo wanajamvi wengi wamechangia,mwanahip hop nguli wa marekani ambaye ni marehemu Notorious B.I.G au big poppa aliitumia M.A.F.I.A(Masters At Finding Intelligent Attitude) kama miradi wake wa kutafuta vipaji na kuwainua wasanii ambao...
  4. B

    Mitiki tayari kwa kuchanwa mbao

    Tuna miti ya mitiki iliyo komaa tayari kwa kuchanwa mbao,shamba lina ukubwa wa hekari nane,mteja anaweza kuchukua kuanzia hekari moja kutegemeana na uwezo wake.Mteja anaweza kuniPM au tuwasiliane 0682156856 au 0717380660.
  5. B

    Msaada: Ushuru wa Toyota volts

    Tatizo kubwa la yadi zetu ni bei kubwa na magumashi saaaaaaaana,thats why watu wanaagiza kupata kitu cha uhakika kwa bei anayoiweza
  6. B

    Ndege yaelekea kuanguka

    Eneo lilitajwa (isipokuwa uelekeo) ambalo hiyo ndege ili overfly ni nyeti sana nakaribia kutoka job,hakuna taarifa yeyote mpya.Tumefanya mawasiliano na marubani waliopita nearby the posibility area,they reported everthing looks normal.
  7. B

    Embu niwachekeshe kidogo.

    Kuna uchochoro nilipita pana harufu ya mkojo sana na hata kuta zina ramani coz ya kojoz,kuna maandishi pembeni USIKOJOE HAPA UKIKUTWA FAINI 50000,nilichoka kuona chini kuna chupa ya uhai imejaa tele mkojo imetelekezwa
  8. B

    Sipendi watoto wadogo

    hahaha sasa dogo hakuelewa au kichwa ngumu tu aliamua kukomaa?hehehe
  9. B

    VICHWA VYA HABARI JUU YA IDRISS ...pita hapa

    Huhuhu!so funny,twaweza ona MASTAA WA KIKE BONGO MOVIE WAMEZEA MAMILIONI YA IDRISS, WEMA APATA REPLACEMENT KUTOKA BBA, ONYINYE AMKAMATA IDRISS, 'IDRISS ANA KIINGEREZA KAMA CHANGU TUNAENDANA SIO SAWA NA NGOLOLO' DIAMOND ASHIKWA NA WIVU KISA WEMA NA IDRISS WAME...
  10. B

    Natafuta Soko la Madini ya aina hizi

    Lete picha bana acha longolongo
  11. B

    Hisa za kampuni ya sigara

    Dhaifu saaana,mijitu hii siipendi.
  12. B

    Naweza kujenga nyumba kwa TZS Milioni 20?

    Shauri au jibu sio kukatishana tamaa, kwa style hii hatutafikia malengo,SIJAPENDA.
  13. B

    Nasikia kumetokea tukio la ajabu pale Magomeni la mchawi kuanguka kutoka angani

    Tara tarara!kangelifaa kumuimbia huyo gagula bin gagulo
Back
Top Bottom