Sifa kubwa ukiwa serikalini lazima uwe na roho mbaya kuwatengenezea watu wengine kesi na kuwazamisha kwenye kina kirefu ili wasiibuke tena! Kazi hii hufanywa pia na wachawi na watu wanaitwa sadist! Yaani wakati wengine wanaumia na kutokwa machozi sadist anacheka na kushangilia! Mungu mkubwa...
Umeeleza mambo mengi ambayo msingi wa swali langu uko palepale! Sihitaji kwanza kujua mifuko inafanyaje kazi! Kwanza nakubaliana na dhana/nadharia ya pensheni! Lakini pensheni inayomnufaisha mtu lini ndio issue hapa! Pension ni linient sio fixed ndg ndio maana unakuta kuna mikopo kabla ya...
Sikubaliani na wewe hata kdg! Kabla ya kukopi misheria ya huko nje ambako wenzetu wanaishi miaka 90 lazima tufanye utafiti tuzielewe jamii zetu zinaishije, life expectancy ikoje, fursa na mazingira ya ajira nk kisha tuje na formula yetu inayotoa tafsiri sahihi ya pensheni kulingana na mazingira...
Hizi ni laana za nchi hii kupitia sheria za kishetani ambazo mwenye nacho akienda kudai chake utaskia "sheria mpya inasema miaka 55" as if sheria imetoka mbinguni! Bulshit!!!! Hopeless!
Akina trump wako bize kutafuta deal zinazokuuza uchumi unaoajiri maelfu ya watu wao na maendeleo ya nchi walishaachana na kufatilia matusi mitandaoni maana pamoja nna kazi nzuri wanazozifanya kuna watu hawawapendi! Hhata MTU atukanwe January to December hatoboki wala hakuna kinachobadilika...
Wasalaam
Vipi wandugu hizi jezi za ndg zetu Taifa stars, ukilinganisha na mataifa mengine mnazionaje? Binafsi sifurahishwi na misoksi ya blue yaani fulana blue, kaptura blue soksi blue....imepoa sana!
Wadau mnapendekezaje maana muonekano nao una nafasi yakee!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.