Recent content by Beka Mpole

  1. Beka Mpole

    JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika ni Tajiri Waafrika(wengi) ni Masikini?

    KWANI UMASKINI NI NINI? MBONA MAISHA YANAENDA POA TU. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Beka Mpole

    JamiiForums Tanzania Ange Kagame aolewa

    Umeua mzee baba! Comment flan hivi ya kibabe sana....! Aina noma....! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Beka Mpole

    JamiiForums Tanzania Ange Kagame aolewa

    Hata mimi nilikua na mtazamo huo. Ila nilipofika Rwanda nikawaona wakawaida sana. Hao watoto wakali wapo Kigali tu na naendeo machache. Lkn ukiingia uswahili hamna kitu. Tofauti na kwetu kuanzia ushuani hadi uswahilini unawakuta watoto wakali. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Beka Mpole

    JamiiForums Tanzania Quotes/ Nukuu za Kibabe toka Movie za Kibabe.

    Sijaielewa ilivyoishia Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Beka Mpole

    JamiiForums Tanzania Makabila yanayoongoza kwa uchakarikaji kwenye maisha

    Mmh! Hapana kwakweli! Bora wasambaa, wamesambaa kila sehem kama ilivyo asili ya jina lao. Ila wabondei No! Wakitoka wadigo wanaongoza hao kwa umwinyi na uvivu kwa makabila ya Tanga Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Beka Mpole

    JamiiForums Tanzania Watu wa dini, batizeni watoto wenu majina yenu ya kiafrika, achaneni na majina ya wazungu na waarabu

    Nimekuelewa. Mwarabu- uarabu Mswahili- uswahili Sawa. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Beka Mpole

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na kikokotoo: Bingwa wa kutengeneza matukio na kujitokeza baadaye kama mkombozi

    Kuna ukweli naomba kujuzwa. Nilisikia hili swala lilianzishwa na Kikwete, likapitishwa na bunge ila utekelezaji umefanywa na Magufuli. Baada ya malalamiko ya raia ndio akawaitisha kile kikao cha jana na kuwasikiliza kisha kutoa maamuzi yale. Nakubali kuwa wanasiasa ni mabingwa wa kitengeneza...
  8. Beka Mpole

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

    Mkuu naomba inijuze nami kuhusi hiyo kinga unayoitumia kwa mifugo. Nami nina kuku wakienyeji nafuga huko shamba.
  9. Beka Mpole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto mzuri Ughaibuni

    Anza kwa kusema "ashakum si matusi" then mwambie yaliyomo moyoni mwako.
  10. Beka Mpole

    JamiiForums Tanzania Roho mbaya ni maumbile ya mtu alivyoumbwa hayabadiliki hata Ukipewa Uchungaji

    Pole mkuu kwa roho mbaya uliyofanyiwa.
  11. Beka Mpole

    JamiiForums Tanzania Sheria Mpya ya Usalama Barabarani yawataka Madereva wote wa Magari wanaosafirisha abiria Kuva Helment Kama Bodaboda

    Labda uje na link inayoelekeza jambo hilo. Kinyume na hapo ni porojo tu
  12. Beka Mpole

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Shukrani
  13. Beka Mpole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mwanaume aliyekamilika inachukua dakika ngapi kuanza tendo jipya?

    Pole
  14. Beka Mpole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa ndoa anaposema maneno haya anamanisha nini ?

    Piga chini kama morinyo
  15. Beka Mpole

    JamiiForums Tanzania Nina milioni moja kwa ajili ya Bata.

    Kweli mkuu, Hyatt Regency niliulizia room juz kat ni 360$. Kwa hiyo EMU yake ni usiku mmoja tu, siku ya pili anarudi mkoani. Aifanya masihara atauza simu. So ni bora ajichanganye viwanja vyetu.
Back
Top Bottom