binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,167
- 34,618
Kama manzi wako amekuruhusu utumie milioni moja kwenye bata basi huyo sio mke!! Piga chini mapema.
Mkuu unakuta hawajala bata mwaka mzima hiyo 1M wamebana kwa ajili ya mwisho wa mwaka. (Min vacation)
Bata kama wiki hivi kwa hela hiyo linawatosha. Room 50k-65k, chakula, vinjwaji , club kama wanaenda, massage&Sauna, mafuta ya gari etc