Nafikiri Tz viongozi wengi wa kisiasa hqta zungumza yao hawaheshimu hili hata kidogo but as time goes on....ya Kenya yataambukiza Tz na from there inaweza ikawa ngumu sana kuitawala hii nchi kwa utulivu....wabadilike mapema
Mwanamke anaweza akawa na mahusiano na Me mwingine endapo...
1.HAKUPENDI.
2.HAPATI HUDUMA TOSHELEVU FROM YOU(Mostly sexual intercourse).
3.ANA TAMAA (Material things or yuko demonized)
Kiujumla mwanamke wako akiwa na mawasiliano ya kimapenzi na wanaume wengine, hii huitwa "cheating" one day hao ME watakuwa your replacement....so the best decision to take ni kuachana naye.....By the way hakuna namna Ke atajihusisha kimapenzi na Me wengine kama ANAKUPENDA....
Nashukuru mkuu...nilipata nyingine pia ipo opposite na mataa ya ITV.....Kama uanatokea bamaga ni upande wa kushoto,wanapaita kwa BIG....au kwa engneer.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.