Recent content by bejamini

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ufahamu umwagiliaji wa matone (drip irrigation system)

    type gharama kwa heka 1
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nimefungua biashara hii week ya tatu tangu tuanze, ila naona imedorora sana

    unafanya biashara gani na wapi? ulianza na mtaji wa kiasi gani?
  3. B

    JamiiForums Tanzania fulsa za biashara dar es salaam

    nawasalimu wrote. nipo naishi Morogoro mjini na nimepata mtaji kidogo wa mil 2 hivi, wazo langu nije dar kuanza biashara au ujasiriamali. kinachonisumbua ni kua, mimi sio mzoefu na jilo jiji licha ya kua hua naingia na kutoka na dar ninayoifahamu mimi ni ya miaka minne iliyopita. binafsi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kaimu DEO na Mtaaluma Simanjiro mnaua elimu

    nimefanya kazi hapo Simanjiro ukanda huo wa mererani ila nilikua disappointed sn Kwa wakuu wa shule. wana mambo ya kishenzi na wanalindwa na DEO wa sec hapo wilayani suala la kuinuka Kwa elimu ktk wilaya hiyo msubiri Yesu arudi, nilifanya maongezi na huyo Kimweri ikaonesha kanielewa ila...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa vifaa vya ujenzi

    Habari wakuu, naomba kujuzwa Kwa anayefahamu mahala/ kampuni ibayokopesha vifaa vya ujenzi na utaratibu wa malipo, naomba kuwasilisha
  6. B

    JamiiForums Tanzania Dalili zote zinaonesha ni Lowassa

    ccm ndembendembe
  7. B

    JamiiForums Tanzania Semina ya Ujasiriamali

    wadau habari zenu, Naomba kufahamu taasisi,jumuiya au wataalamu fulani wanaotoa semina ya Ujasiriamali. Nina Mwaka mmoja sasa tokea nianze biashara yangu ya duka la rejareja hapa morogoro mjini, nna shauku ya kupata msukumo wa fikra na mawazo mengine ili nifanye vizuri zaidi na niwekeze...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    sio kweli, majukwaa mawili tu ndo yamejaa, picha za star TV hapa uwanjani zinachukua kieneo cha pitch, nipo uwanjani jamhuri sasa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kero za NMB

    nimekupata vizuri sana kiongozi, ngoja niende mida hii, maana nilikaa kimya kuwapa kipindi cha mpito, mda wa matazamio umekwisha ss nachukua hatua
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kero za NMB

    Nimefatilia mkopo wa wafanyakazi NMB Morogoro na kukamilisha masharti, cha kushangaza ni zaidi ya wiki moja imepita hawajanipa pesa. Sababu wanayoitoa ni eti mtandao unasumbua nchi nzima, how comes mtandao usumbue nchi nzima na hakuna wayout wanayoifanya / kuwaeleza wateja? Suala hili...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kero za NMB

    Nimefatilia mkopo wa wafanyakazi NMB Morogoro na kukamilisha masharti, cha kushangaza ni zaidi ya wiki moja imepita hajanipa pesa, sababu wanayoitoa ni eti mtandao unasumbua nchi nzima, how comes mtandao usumbue nchi nzima na hakuna way out wanayoifanya / kuwaeleza wateja. Suala hili...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Top 10 ya wagombea ubunge wa CCM wenye nafasi kubwa ya kushinda

    mbowe ni Hai/sia??
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nyaraka: Kashfa ya Richmond - Maagizo ya Lowassa na Uamuzi wa Serikali

    hayo ni majungu tu, lowasa hana kosa hapo!
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete fanya hiki Dr. Magufuli apate kura za waalimu

    none sence
  15. B

    JamiiForums Tanzania Jicho letu ndani habari Startv, Moses Methew kimeo?

    huyo moses ni mweupe sana, star tv nao wanamatatizo, huwa hawafanyi tathmini ya wageni waliowaalika!! hopeless!!!
Back
Top Bottom