Ccm mbendembende
ccm ndembendembe
Ccm mbendembende
Vijana wa chadema mnashangaza sana. Hamtaamini kitakachotokea.
Dalili za anguko la ccm na mabadiliko yaliyotabiriwa zinamwangukia LOWASA kama shujaa alyeandaliwa ktk mabadiliko hayo.
binadam wanatabia ya kupuuza utabir na kutoamn mpaka jambo litokee,hata mm mwanzon skuamn hata kidogo kama hili ndo linaweza kuwa ndo anguko kuu la ccm lililotabiriwa na hayati baba wa taifa,Julius Kambarage Nyerere.
Nmemtafakar sana lowasa alpoanzia na misukosuko ilyompata na wakati wote ktk vpind hvo alvojeruhiwa amekuwa akipita salama,nafkr nguvu ya mabadiliko alyoyabeba ndo yamekuwa yakimuchelewesha na wakati wake umefka sasa.
ukiunganisha dot zote za utabir kuanzia Nyerere alvotabir mabadiliko,TB joshua juu ya Lowasa,Mchungaj alyesema kama lowasa hatakuwa Rais auwawe,Sheikh yahaya kuhusu Lowasa 2015,Askofu kakobe juu ya anguko kuu la ccm 2015 Namna ambavyo ukawa imezaliwa na kuweza kudumu mpaka wakati huu wa uchaguz,na ngao alyoibeba ya mabadiliko iliyoaandaliwa na chadema mda mrefu ya M4C (Movement for Change) .dalil za CCM kuanza kulalamika,kuparanganyika na kuamua kutumia matus na kashifa juu ya Lowasa ni dalili za kushindwa mwaka huu.DALILI ZOTE ZINAONESHA NI LOWASA.
Pumba tupu,mgonjwa wenu mpelekeni muhimbili
Pumba tupu,mgonjwa wenu mpelekeni muhimbili
Na yule chizi wenu mpelekeni mirembe.
Ccm mbendembende
Wana JF jambo alilogundua huyu Mgombea ni kwamba alivyoona gari imeanza kugoma kuwaka baada ya safari ndefu ya nchi ya ahad miaka hamsini Na nne.Kwanza alipewa uwezo na Mungu wa Kuwa-identify problem very soon.Pili alivyoguundua Shida ni badrii Low charge.Haraka alishuka kwenye basi hilo maana alijua hawezi kufanya madiliko yoyote ili kunusuru safari yake Na wale abiria akiwa ndani ya BASI hilo hilo.Ajabu ni mwenzake ambaye ameshamuona dereva Ame-loose hope kabisa.ANAOMBA ABIRIA WALIOLIPA NAULI ZAO HALALI ILI WAFIKE SALAMA WAKIWA MULE MULE NDANI KAMA SEHEMU YA ABIRIA NA YEYE AKASHIKE USUKANI WAMSUKUME GARI IWAKE SAFARI YAO IENDELEE ?Je ninani yupo ready kusukuma Gari akiwa ndani kwenye kochi? Hiyo ni jocks nikweli Na uwazi kuwa haliwezi kuwaka.Mwenzie ameshuka ANAOMBA WANANCH NJE YA BASI LILILOFELI AKAKAE KWENYE USUKANI AMBAO KWA SASA DEREVA WAKE AME-loose hope kabisa.AMEINAMISHA KICHWA CHINI ABIRIA (wananch) WAMEKWAMA MUDA MREFU NDANI YA BASI miaka hamsini Na nne.wananjaa.(No enough food) Wanakiu (No permanent solution ya maji) ndani ya BASI kuna Giza (hakuna Umeme.No permanent solution of power) violation of human rights.In adequate education.Hakuna ulinz wa viwanda vya ndani.hakuna ulinz wa wanyama pori.wanavunwa.mfumuko wa bei za bidhaa.Wananch wameamua kwa umoja wao kumwambia huyo Mgombea mmoja aliyeshuka ndani ya BASI kakae kwenye USUKANI WAMSUKUME WAKIWA nje mara moja liwake waondoke. Wamekuja kusukuma wanaambiwa.nimgonjwa.mwizi.hafai Kuwa dereva wa hili BASI.lakini Mgombea huyu hamsemi Mwenzie yupo Kimya hajibu kwa ubaya anahimiza wananchi kwa umojawenu nisukumeni Gari IWAKE muondoke hapa. Kama walivyoanza kuonyesha ni wazi kwamba WANANCH WILL SHOW DUNIA WHO IS A QUALIFIED BUS DRIVER A FEW DAYS 2 COME.GOD BLESS OUR COUNTRY.
Ujinga ni kuchagua ccm mwaka huu