Recent content by begail

  1. B

    Mke wangu baada ya kupata kazi na mshahara mnono ameanza kunidharau

    Tafuta mwanamke mwingine pembeni ludi home kuanzia saa nne usiku na kuendelea hakikisha unatoa huduma nzuri kwa watoto wako Usimuulize chochote kuhusu mshahara wake kaa kimya anapokosea. Hakikisha unampenda mchepuko yeye mwonyeshe kinafiki kuwa upo pamoja nae na mpe pole na kumpongeza aludipo...
  2. B

    Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

    Pole sana ni mtihani mkubwa hasa ukikumbuka watoto wako kuwacha ni ngumu vumilia Mungu kuna aiku atakupa nguvu Watoto kwasasa hajui kama mama yao anakosa Mm niaeme pole
  3. B

    Sishauri mtu kusoma PhD OUT

    Unashindwa kimraghai asogee karibu umpe kichapo utararamika hadi lini
  4. B

    Mke wangu anapenda sana kujipiga picha na kujipost matandaoni, nimeongea mpaka nimechoka lakini habadiliki

    Pole sana jifunze kuwa na spear part yake na anza kutolidi nyumbani akikuuliza mwambie unamkbua mume wake wa mitandaon
  5. B

    Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

    Wewe unae andika ni mwanapropaganda ingie AI wakwambie uwezo wa JWTZ
  6. B

    Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

    Nimefuatilia kwenye vya zo.mbalimbali vinasema kwamba jeshi tu la akiba na raia wano miliki siraha wanauwezo mkubwa sana kivita kuliko hao jamaa wa rwanda
  7. B

    Niombeeni nimechaguliwa kwenda Congo kuwaondoa m23 kundi letu linaondoka Jumanne

    Sawa ila hapa sio sehemu ya wewe kusema hayo Waambie wanufaika wako
  8. B

    DOKEZO Raia wa Rwanda wanapenyaje hadi kujazana nchini?

    Hao wenyewe uhamiaji vyombo vya usalama hawamohumo Hao wanyarwanda Ambapo ukute zoezi hili linakwamishwa na wao Inatisha nakuogopesha kipande kidogo tu cha ardhinkinasumbua
  9. B

    Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

    Hiyo sio mechi House girl kamwaga mrenda sebureni
  10. B

    Business Class ina raha yake - tafuteni pesa

    Pesa zote za Dunia unazonweww
  11. B

    Kila Mwanamke Ana Wanaume Watatu

    Kuhusu wanawake tumwachie Mungu yeye ndiye ajuae aliko watoa na maana yake
Back
Top Bottom