Recent content by bega moja

  1. bega moja

    JamiiForums Tanzania Congrats to Diamond and Lady Jaydee for making Tanzanians proud

    Kweli hapa inatuonyesha kuwa Diamond aidha kuna watu wanampa mapromo au yy misifa mingi mbona jide kimya au hajutegemea kama atashinda hizo ni sawa na tuzo za shigongo au kwakuwa zimefanyika Marekani mimi ningefurahi sana kama angeshinda Bet au Mtv ingekuwa powa apunguze sifa msanii wetu kama...
  2. bega moja

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz vs Ali Kiba, nani mkali?

    Kweli kaka maana huko kote alikokwenda kaambulia patupu tu na hilo siyo lengo
  3. bega moja

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz vs Ali Kiba, nani mkali?

    Wadau naomba maoni yenu kumekuwa na ubishani mkubwa siku za hivi karibuni juu ya nani mkali wa bongo flava kati ya wasanii wetu hawa wawili huku zikiwa zimebaki siku chache Ally kiba atoe single yake mpya inayoitwa Dar es Salaam
  4. bega moja

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wamasai hawawezi kabisa kazi ngumu?

    Hahaha njoo maeneo ya Matemwe uone waunguja wanavyolima mahindi twende Donge ukale mihogo na masheli sheli wilaya ya kati Dunga ndo mpango mzima kila kitu unapata eti waunguja
  5. bega moja

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wamasai hawawezi kabisa kazi ngumu?

    Tuliwahi kumshuhudia mmsai mmoja akishughulikiwa na mzungu kwa macho yetu ndani ya bahari hii ilitokea Znz maeneo ya Pwani Mchangani
  6. bega moja

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Viongozi wa CHADEMA kukwepa mazishi ya Mama Zitto

    Aibu yao Mbowe na zuzu mwenzie Slaa jitahidini kuwatetea
  7. bega moja

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Viongozi wa CHADEMA kukwepa mazishi ya Mama Zitto

    Waulize kina Mbowe kwanza kwanini hawakwenda mazikoni acheni siasa za maji taka
  8. bega moja

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Viongozi wa CHADEMA kukwepa mazishi ya Mama Zitto

    Mbowe amechemka sana na Slaa
  9. bega moja

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi 'Sugu' amlipua Zitto Kabwe

    Sugu kakaa kama Khadija kopa mwimba mipasho mwanaume mzima hovyoo kabisa
  10. bega moja

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi 'Sugu' amlipua Zitto Kabwe

    Hatufiki kwa chuki binafsi
  11. bega moja

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa aina hii ni pasua kichwa

    Kweli kaka chini ya 25 ni shida kweli
  12. bega moja

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa aina hii ni pasua kichwa

    Inataka uwe na moyo mkuu
  13. bega moja

    JamiiForums Tanzania Watoto wa vigogo na upendeleo wa ajira nyeti serikalini

    Lakini ni vizuri tukaangalia na vyama vyote kwa ujumla
Back
Top Bottom