Recent content by beevenom

  1. beevenom

    NEMC wekeni utaratibu wa ibada; huku mtaani leo hakukaliki kwa sababu ya kelele!

    Pole sana ndugu yangu,hawa jamaa wanakera sana. Mie moja ya sifa ya kiwanja cha kujenga ni kutokuwa karibu na makanisa au misikiti. Huwa sipendi kelele kabisaa nikipumzika
  2. beevenom

    Vipi hali ya covid-19 pande hizo?

    Daah! Hatari sana haya mambo. Mungu ajalie wapone haraka.
  3. beevenom

    Vipi hali ya covid-19 pande hizo?

    Wadau habari ya mapambano,naomba kujua hali ya corona ipo vp hapo mitaa yenu, home kwangu familia nzima imepigwa na mafua makali sana. Na kwa upande wa wife dalili ndo kama zile za awamu ilee yaani mafua seriou, homa na maumivu ya mwili. Naomba kuwasilish
  4. beevenom

    Optic illusions (mauzauza)

    33e3ffwsffdfrffdffexrf Rrrfrrfff
  5. beevenom

    Niliyoyaona kwa Mkapa (Lupaso) Stadium leo ambayo kama yasipofanyiwa Kazi basi yanaenda Kujirudia tena Lake Tanganyika 25 July, 2021 ni haya

    Ndugu tukubali tu tulizidiwa kimbinu, shots on target Simba alikuwa na 2 tu na yanga 4 mi niungane na mchambuzi wa awali
  6. beevenom

    Maisha bila kafara hii ngoma haiendi, utaishia kusindikiza wenzako

    mzee unapatikana wapi? hizo picha nani mchoraji?
  7. beevenom

    Simba SC yatoa taarifa rasmi, yataka kupewa ushindi kwa Yanga SC kususia kuingiza timu uwanjani

    maana halisi ya wananchi ni kuonesha njia sio kukubali upupu
  8. beevenom

    Simba SC yatoa taarifa rasmi, yataka kupewa ushindi kwa Yanga SC kususia kuingiza timu uwanjani

    Simba fc wameandika kipeperushi au barua ya mapenzi kuujulisha umma
  9. beevenom

    Crazy things you did in secondary school

    Vg xn nohtx Wz. Ncfw cxxlxxxmdx nfxniooi xok rcx ddhhxd xeexx,kkzb xx xios Ss.s.eo.oxotf
  10. beevenom

    Napata uchungu mdomoni, maumivu ya viungo na uchovu uliopindukiwa

    Kuna uwezekano mkubwa una vidonda vya tumbo,nenda hosp haraka tafadhali
  11. beevenom

    Nini sababu ya kutojisikia kuwa na marafiki?

    You have nailed it. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. beevenom

    Nini sababu ya kutojisikia kuwa na marafiki?

    Nafuu wewe una hata rafiki,mie sijawahi kuwa nae hata mmoja na sidhani kama naweza pata rafiki kwani naamini binadamu sio wakamilifu na hivyo nikijenga imani kwa mtu kama rafiki najua IPO siku ataniboa tu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. beevenom

    Nini sababu ya kutojisikia kuwa na marafiki?

    Nimeelewa sasa,may be kwa kuwa sikai vijiweni,sinywi pombe -sikai maeneo ya mikusanyiko Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom