Nini sababu ya kutojisikia kuwa na marafiki?

Nini sababu ya kutojisikia kuwa na marafiki?

tumefanana kwa sehemu kubwa. hapo uliposema unaongea na mtu kwa lengo flani likiisha ndo basi na mimi nipo hivyo. shule, chuoni, kanisani,kazini watu ninao ongea nao nikitoka hapo sina mazungumzo tena. sina best friend nikidate huyo ndo anakuwa best friend automatic. sipendi kuongea na simu hata ikiita naona taabu labda wapige wazee. ni heri mtu atext nitajibu kwa wepesi. nikikaa kuongea na mtu baada ya muda na zone out. navutiwa na mazungumzo ya mambo ya ajabu kidogo kama mambo yasioonekana, nyota, saikolojia. napenda kukaa na kujisomea novels au makala zenye visa vya kusisimua. naogopa wageni wanapokuja kutembelea nawaza ntaongea nini baada ya salamu. sipendi mizozo naikwepa kwa kila namna
 
Yeah hapo kwenye kubadili lifestyle ni shida, Nakumbuka mama angu alikua ananipigia kelele sana kuhusu kusocialize na watu kama ndugu na majirani, lakini nikijaribu kila siku huwa naishia kuumiza hisia zangu kwa mambo yao na action zao, kifupi huwa sielew kabisa na naona kama ni complications tu kuwa karibu na kila mtu. Mim naweza kuwa karibu na watu wachache tu ambao nawaamini, hata nikiwa shule nilikua na rafiki mmoja tu, nikaja chuo nikawa nae mmoja tu, now sina rafiki kabisa naongea na mama angu(ndio kama rafiki kwangu) nawatu wengine itakapobidi kuongea. Hata sielew itakuaje natamani kusocialize ila huwa naona shida naacha.
Duu tupo wengi
kila nikirud nyunbani huu huwa ni ugomvi wetu na maam
Kwa mke wangu pia,hanielew.Kuna stori najihisi siyo muhimu/lazima ku-share naye.
Orodha ni ndefu mnoo.Kuna mama ni co-worker kuna kipindi nilikuwa na msala, alinitolea dhamana ila baada ya mda najihis kutokumsogelea.
Nimekuwa mbaguzi sana wa nini niongee na nani niongee naye na wapi tulipo(au hii ni akili nzuri??)
Nimesomeshwa na wadau mbali mbali wapatao wanne(4) tena wote walijitoa kweli ila mpaka sasa sina mawasiliano nao.Baadhi waliniudhi kwa kutaka niwashirikishe kila maendeleo au mapito yangu ila wengine sikuwajari kimawasiliano huo ukawa mwanzo wa kupotezana!!
Jamani kama kuna mtaalamu atueleze hali hii maana yake nini.
ILA SIJUTI KUWA MBALI NA WATU WANGU!

When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.
 
Chill. Ukishakua mtu mzima rafiki anabaki mzazi wako, ndugu yako wa tumbo moja au mwenza wako. Hao wengine wote kwa kiingereza tunaina acquaintance. It's okay kutokua na marafiki wengi.

Sent From Galaxy S9
 
Aisee, mtusaidie Kwakweli
Binafsi nimewahi kuishi na Mama wa Kambo kwa miaka 7,yana ata Nikilala uwa naota hiyo life yng na mama wakambo...

Shida uwa inaongezeka zaid km muda mwingi nakuwa sina chakufanya..

Napenda sana kuwa bize,kufanya vitu vingume ili Kichwa kiitulie, kuna wakati sipend ata kuongea na wazazi wng...

Napenda kudeal na vitu visivoongea,kusoma novel,kuimba japo sijui...
Nko over thinking sana kiasi kwamba ktk cku 7 za wiki Bas 4 naishi kwa kunywa dawa za maumivu yakichwa
 
Yeah hapo kwenye kubadili lifestyle ni shida, Nakumbuka mama angu alikua ananipigia kelele sana kuhusu kusocialize na watu kama ndugu na majirani, lakini nikijaribu kila siku huwa naishia kuumiza hisia zangu kwa mambo yao na action zao, kifupi huwa sielew kabisa na naona kama ni complications tu kuwa karibu na kila mtu. Mim naweza kuwa karibu na watu wachache tu ambao nawaamini, hata nikiwa shule nilikua na rafiki mmoja tu, nikaja chuo nikawa nae mmoja tu, now sina rafiki kabisa naongea na mama angu(ndio kama rafiki kwangu) nawatu wengine itakapobidi kuongea. Hata sielew itakuaje natamani kusocialize ila huwa naona shida naacha.

Cha msingi ni kuwa na furaha.. kama huipati bhasi jaribu kubadilika kiasi
 
Nimeelewa sasa,may be kwa kuwa sikai vijiweni,sinywi pombe -sikai maeneo ya mikusanyiko
Sidhani kama ni tatizo,naona ni hali ya kawaida.kuna watu wanapenda kuongea na watu,wakikutana na mtu yeyote siku moja tu kashakuwa rafiki na mikusanyiko ya watu masherehe nk, yaani 'outgoing'. lakini watu wengine wao salamu inatosha wanakuwa hawana la kuongea au hawatamani kuendeleza maongezi.Pia kuwa kwenye mikusanyiko au watu wengi inakuwa shida.Binafsi sioni tatizo sababi binadamu tumeumbwa tofauti,tatizo ni wale wanaofikiri kuwa ivi ni kosa.
Tupo wengi kama wewe,naweza nikakaa peke angu mda mrefu bila mawasiliano na watu,na hali hii ikanipa 'peace' kubwa,na nikiwa na hamu kuongea na watu,ni wachache napenda kuongea nao hasa ndugu.Sina marafiki wengi,hao wachache tunajuana kwa miaka mingi sana,nao naweza nisiwapigie simu hata miezi 6,lakin siku tukiongea ni kama jana ake tulikuwa pamoja,na wengi wao hatujaonana karibu miaka mitatu.#SolidIntrovert.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafuu wewe una hata rafiki,mie sijawahi kuwa nae hata mmoja na sidhani kama naweza pata rafiki kwani naamini binadamu sio wakamilifu na hivyo nikijenga imani kwa mtu kama rafiki najua IPO siku ataniboa tu
Yeah hapo kwenye kubadili lifestyle ni shida, Nakumbuka mama angu alikua ananipigia kelele sana kuhusu kusocialize na watu kama ndugu na majirani, lakini nikijaribu kila siku huwa naishia kuumiza hisia zangu kwa mambo yao na action zao, kifupi huwa sielew kabisa na naona kama ni complications tu kuwa karibu na kila mtu. Mim naweza kuwa karibu na watu wachache tu ambao nawaamini, hata nikiwa shule nilikua na rafiki mmoja tu, nikaja chuo nikawa nae mmoja tu, now sina rafiki kabisa naongea na mama angu(ndio kama rafiki kwangu) nawatu wengine itakapobidi kuongea. Hata sielew itakuaje natamani kusocialize ila huwa naona shida naacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tumefanana kwa sehemu kubwa. hapo uliposema unaongea na mtu kwa lengo flani likiisha ndo basi na mimi nipo hivyo. shule, chuoni, kanisani,kazini watu ninao ongea nao nikitoka hapo sina mazungumzo tena. sina best friend nikidate huyo ndo anakuwa best friend automatic. sipendi kuongea na simu hata ikiita naona taabu labda wapige wazee. ni heri mtu atext nitajibu kwa wepesi. nikikaa kuongea na mtu baada ya muda na zone out. navutiwa na mazungumzo ya mambo ya ajabu kidogo kama mambo yasioonekana, nyota, saikolojia. napenda kukaa na kujisomea novels au makala zenye visa vya kusisimua. naogopa wageni wanapokuja kutembelea nawaza ntaongea nini baada ya salamu. sipendi mizozo naikwepa kwa kila namna
You have nailed it.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua nikiwa nasoma mada ya OP nikajikuta nawaza mbona huyu ni mimi? Nimeandika lini tena hii lol. Unajua ninachomaanisha Mla bata enh?

Hapa cha kumsaidia OP sina maana nina tatizo kama lake, labda apitie ule uzi mlionishauri atajifunza kitu.
Nje ya mada.. Hivi kwanini OP?
Sijawahi kupata majibu.. Mwanzo nilikuwa nadhani labda ni New Member.. ila sivyo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom