Recent content by beefinjector

  1. beefinjector

    JamiiForums Tanzania President Samia Suluhu Hassan is “overrated,”

    Your second paragraph is not realistic, it's just an illusion.
  2. beefinjector

    JamiiForums Tanzania Wazee wa TV Series: Unaambiwa hizi ndio Best TV Series hadi sasa kwa Karne ya 21

    Nakubaliana na wewe, actually wengi wanaamini BCS ni kali kuliko BB.
  3. beefinjector

    JamiiForums Tanzania Wazee wa TV Series: Unaambiwa hizi ndio Best TV Series hadi sasa kwa Karne ya 21

    Prison Break is overrated. Huku kwetu tu ndio tunaifagilia. Ukifuatilia list yoyote ya best series haiko highly rated.
  4. beefinjector

    JamiiForums Tanzania Manchester City yakutwa na hatia ya mashtaka 114 ya kifedha ya Ligi Kuu ya Uingereza

    Yanga kahamia EPL lini?
  5. beefinjector

    JamiiForums Tanzania Diva aomba michango kwa waja, ili alipe kodi ya nyumba

    Na kuna wapumbavu watachanga.
  6. beefinjector

    JamiiForums Tanzania Maji Maji FC, mnaikumbuka? Hii timu iliishiaga wapi aiseee

    Beki mstaarabu Samli Ayoub Beki mstaarabu Samli Ayoub, hata uwanja uwe na tope vipi jamaa mpira unaisha anatoka bila kuchafuka.
  7. beefinjector

    JamiiForums Tanzania Ommy Dimpoz ajibu kuhusu tuhuma za yeye kuitwa Chakula (Shoga) na Dudu Baya

    Umemuita choko, kwa logic yako unataka aje akuchokoe.
  8. beefinjector

    JamiiForums Tanzania Alphard vs verifirre ninunue ipi kwa mtumizi ya familia ya watu 8

    Acheni upotoshaji. Kama ingekuwa kweli basi Toyota wangepata scandal. Yaani gari likizidi 120km/hr linapinduka? Mi nimesafiri mara kibao na Alphard na napiga mwendo mdundo sijawahi hata kuhisi linataka kupinduka. Kama huna control tatizo ni wewe dereva na sio gari.
  9. beefinjector

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yanga wachague uwanja wa uhuru na sio KMC stadium?

    Uzuri Yanga hainaga makelele. Wanasubiri siku demu aingie geto wajipigie miti watakavyo. Huyo Libase kashacheza mechi ngapi na Yanga?
  10. beefinjector

    JamiiForums Tanzania Kajala; Paula Aliposhika Ujamzito Niliogopa P Angenipiga

    Kajala ana biashara gani mpaka aitwe "mfanyabiashara maarufu"? Nimeona pia eti Aunt Ezekiel na Mobetto nao wanaitwa "wafanyabiashara maarufu". Acheni utani na fani za watu, hao ni wabangaizaji tu.
  11. beefinjector

    JamiiForums Tanzania Season kali za kuangalia Mwaka huu.

    Series sio season.
  12. beefinjector

    JamiiForums Tanzania HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

    Kwani mavazi nadhifu ni suti tu? Huwezi kuvaa suluari na shati za kawaida na ukaonekana nadhifu?
  13. beefinjector

    JamiiForums Tanzania HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

    Kama aliweza kununua hizo alizovaa basi ana uwezo wa kununua nguo decent kwa ajili ya usaili. Kama alikwama basi hata angeazima.
Back
Top Bottom