Recent content by Beby

  1. B

    Pension Fund ipi ina benefit nyingi nzuri?

    asante sana Kanchi
  2. B

    Pension Fund ipi ina benefit nyingi nzuri?

    Naombeni msaada please.. ipi ni the best? ni PPF? LAPF,NSSF au PSPF? nachanganyikiwa. Naombeni ushauri kwa wenye ujuzi wa haya mambo.
  3. B

    SAMSUNG vs NOKIA

    Samsung z the best.. natumia galaxy Ace..
  4. B

    Pgss 10

    nashukuru sana..
  5. B

    Pgss 10

    asanteni saana
  6. B

    Pgss 10

    naombeni mniambie huu mshahara una range kwenye sh. ngap please.
  7. B

    Nimwacheje msaada pls..

    we kaka hivi una moyo wewe? Yani miaka yote minne hamna ki2? Afu unafikiri kwamba wewe ndo umekamilika au? Huyo dada amekuvumilia kwa mangap? Au unahisi kwamba ALIBAHATIKA SANA KUA NA WEWE? Kwakweli wewe ni mharibifu na unastahili kupata pigo la maana, na dunia ikufunze kwamba hata wewe una...
  8. B

    Bad habits

    mimi nachukia pale mtu anapokosea, na ANAJUA anamakosa alafu ANAPOTEZEA,, na anaexpect kila kitu kiendelee kama kawaida.. Ya kwangu: nitamchunia hasa, mpaka atakapojielewa na kuomba msamaha, then kila kitu kitaendelea kama kawaida
  9. B

    comment on your month!

    MARCH baby!!! Duh, it is sooo tru!!!
  10. B

    Nahitaji nyumba nzima ya kupanga bei isizidi 250,000/=

    hiyo nyumba ina master bedroom?
  11. B

    Natafuta nyumba ya kupanga DSM

    hawa madalali wanasumbuaga sana, i really wsh nipate sehem bila dalali, ila ngoja nijionee
  12. B

    Natafuta nyumba ya kupanga DSM

    Natafuta nyumba yenye vyumba vitatu, atleast kimoja kiwe master, iwe katika hali nzuri, umeme na maji, iwe na nafasi ya kupaki magari mawili, na fence, iwe maeneo ya kinondoni, survey, au kijitonyama, sihitaji dalali, budget 350,000 ..
  13. B

    Mke wangu azidiwa,

    Jitahidi kupunguza. Huo mzgo unachosha kwakweli, ndo maana mwenzio anapungua!!! Sio vzur wewe uendelee kunenepa af mwenzio akondeee. Utakuja kuua. Fanya kwa afya, mke ni wako, hauko kwenye mashindano.
  14. B

    Nauza palm top

    Ina specification zipi?
  15. B

    Nokia X2-01

    Nauza nokia X2. Kwa yeyote anayehitaji ani pm. Simu imetumika mwez mmoja tu. Bado ina guarantee ya mwaka vile vile, iko na protection cover mbili black na blue, unapata charger na earphones, vyote ndani ya boxi.. Bei 160,000/=
Back
Top Bottom