Nahitaji nyumba nzima ya kupanga bei isizidi 250,000/= | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji nyumba nzima ya kupanga bei isizidi 250,000/=

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Baba Erick, Jan 14, 2012.

 1. Baba Erick

  Baba Erick JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Magomeni, Kigogo Luhanga, Mwenge, Mabibo siyo Hostel, iwe na fensi, car parking na water supply na umeme
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Ipo K/nyama Science full equiped fense electric + maji 5000ltr Tank 3bedrooms,2 rest room,1 dining room,1 kitchen,garden safi kwa mbele na parking«««««««»»»»»»320,000/= 6Months Rents
   
 3. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kasema 250
   
 4. Masakata

  Masakata JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2012
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Mkuu mimi nahitaji hiyo,tuwasiliane..no yangu ni 0718324098
   
 5. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,083
  Likes Received: 4,667
  Trophy Points: 280
  Mkuu
  please tuwasiliane 0715800001
   
 6. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  This sounds too good to be true hasa kwa kuzingatia eneo lenyewe! Au bei zinashuka siku hizi! Well, naona hujataja sitting room....ni kweli haipo au umesahau tu kuitaja?
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,771
  Trophy Points: 280
  Kwa bei hiyo
  utazipata manzese kwa mfugambwa ama tandika tena vyumba 6 mpwa sijasahau mbagala kama uko k nipm fasta
   
 8. M

  MrBiggs Member

  #8
  Jan 15, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna nyingine maeneo ya mabibo,ina vyumba 4,kimoja master,choo na bafu,jiko na store yake,ina maji ya bomba na maji chumvi humohumo,na fensi na parking ya maana tu yenye geti kali na la kisasa inatakiwa laki 5tu maongezi yapo.0713698405
   
 9. B

  Beby Member

  #9
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo nyumba ina master bedroom?
   
Loading...