Recent content by Beberu Mwitu

  1. Beberu Mwitu

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamani Melbet wananikosesha supu asubuhi hii😒, mnatoaje hela huko? mimi nataka kutumia Airtel money.
  2. Beberu Mwitu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wikiendi ya leo nimewakumbuka wasakatonge wenzangu ambao bado mnasubiri PSRS waweke mkeka. Natumaini mpo vema kabisa.
  3. Beberu Mwitu

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kituo kizuri cha kujiandaa kurudia mtihani wa Kidato cha Sita

    Naweza kupata contacts zake?
  4. Beberu Mwitu

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kituo kizuri cha kujiandaa kurudia mtihani wa Kidato cha Sita

    Swali nzuri sana. Kuhusu kutumia matokeo ya kidato cha nne si tu mzunguko utakuwa mrefu bali gharama itakuwa kubwa zaidi, na pia nitahitajika kusoma Full time kitu ambacho kitakuwa kigumu kwangu kwa wakati huu. Hii itakuwa tofauti na nikitumia matokeo ya ACSEE.
  5. Beberu Mwitu

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kituo kizuri cha kujiandaa kurudia mtihani wa Kidato cha Sita

    Shukrani mdau, natamani kufanya kile ambacho napendelea na si kile ambacho nakifanya kwa sababu sina namna.
  6. Beberu Mwitu

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kituo kizuri cha kujiandaa kurudia mtihani wa Kidato cha Sita

    Upo sahihi mkuu na nashukuru kwa ushauri huu. Binafsi nataka kuachana kabisa na huu ualimu.
  7. Beberu Mwitu

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kituo kizuri cha kujiandaa kurudia mtihani wa Kidato cha Sita

    Natumaini kila mmoja wetu hapa yupo na siku nzuri kabisa; Nimekuja kwenu asubuhi hii ili kuomba ushauri wa mambo ya kielimu; hasa kurudia mtihani wa kidato cha sita. Kitaaluma mimi ni mwalimu wa ngazi ya cheti, pia nilisoma kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM. Sikufanya vema...
  8. Beberu Mwitu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kurudia mtihani wa kidato cha sita, utaratibu ukoje?

    Nafahamu huu ni uzi wa muda mrefu, lakini si vibaya kuuliza; vipi mkuu ulifanikiwa kufanya mtihani?, kituo kipi ulisomea kabla ya mtihani?. Mimi nipo Dar na nahitaji kurudia mtihani kwa masomo mawili pekee yaani Chemistry na Mathematics.
  9. Beberu Mwitu

    JamiiForums Tanzania Naweza kusoma nikiwa kazini Diploma za Sayansi kwa ufaulu huu kidato cha sita wa mwaka 2014?

    Kazi naendelea nayo mpaka nitakapopata kada nyingine. Kuhusu umri Mungu ndiye anajua😀. Elimu haina mwisho mkuu
  10. Beberu Mwitu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Sheikh Sharif 'Majini' akimshauri rais Samia kuzima mitandao siku tano kabla ya uchaguzi

    Masikini sheikh Sharif hakujua kwamba siku zake zilikuwa zinahesabika. Aliyempiga risasi huenda hakujua kwamba huyo alikuwa mtu wa system.
  11. Beberu Mwitu

    JamiiForums Tanzania Naweza kusoma nikiwa kazini Diploma za Sayansi kwa ufaulu huu kidato cha sita wa mwaka 2014?

    Nimekusoma vema mkuu, japo lengo langu si kuacha hii kazi kwa sasa. Ninachohitaji ni kusoma nikiwa kazini.
  12. Beberu Mwitu

    JamiiForums Tanzania Naweza kusoma nikiwa kazini Diploma za Sayansi kwa ufaulu huu kidato cha sita wa mwaka 2014?

    Habari za muda huu ndugu wana jukwaa. Niende moja kwa moja kwenye mada; nilihitimu kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM na kupata alama zifuatazo; Physics- D Chemistry- E Advanced Mathematics-E General Studies- D ( japo haina maana). Baada ya matokeo hayo yasiyoridhisha nikajikatia tamaa...
  13. Beberu Mwitu

    JamiiForums Tanzania Application ya mikopo ya ukopeshaji imegonga mwamba, sijui nilipe huu mkopo au niingie mitini?

    Labda nieapelekee ofisini. Njia waliyonipa imegoma
Back
Top Bottom