Recent content by beauuuuuu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kozi zipi za ziada unaweza soma wakati unachukua degree ya udaktari?

    Shukran sana na ubarikiwe [emoji1374]
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kozi zipi za ziada unaweza soma wakati unachukua degree ya udaktari?

    Thank you,umenielewa na nimekuelewa pia.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kozi zipi za ziada unaweza soma wakati unachukua degree ya udaktari?

    Habari wadau,mimi ni binti wa mwaka wa pili wa degree ya udaktari.Kipindi chote cha masomo wakati nipo mwaka wa kwanza nilikuwa na hili swali Ila nimekosa jibu lake nikaona vyema nije kuuliza kwa yeyote mwenye kujua anipe muongozo. Hivi ni short courses gani naweza fanya hata kwa muda wangu wa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kutokana na ujumbe huu na taarifa zilizopo hapo nikitaka ku-appeal naappeal vipi/wapi?

    Wadau,Kuna mtu yeyote ambae ameweza kufanya marekebisho kwenye account yake.Naombeni majibu ndugu zangu Kama yupo huyo mtu nahitaji msaada.
  5. B

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nashindwa ku-log in kwenye akaunti ya HESLB

    Habari zenu wadau, bodi ya mikopo imesema wamefungua dirisha la marekebisho na kuanzia leo unaweza ku upload nyaraka ambazo ulishindwa ku upload kipindi kile.Ila kwenye account nikilog in nakuta habari hii.Mwenye kujua nawezaje kurekebisha naomba anisaidie.
  6. B

    JamiiForums Tanzania University Admission Results 2020

    Okay, ahsante
  7. B

    JamiiForums Tanzania University Admission Results 2020

    Samahani wadau,hivi kwa mtu ambae cheti chake kilichelewa kuwa certified na RITA na hakuweza kuendelea na corrections na dirisha likafungwa,Ina maana hawezi tena hata kuappeal au inakuwaje.Kwa mwenye kujua naomba anieleweshe.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kuhusu NACTE

    Hiyo ni kawaida yao kwa miaka mitatu iliyopita na huwa ina cost sana wanafunzi.Hata sisi wakati tumemaliza mwaka wa pili tunasubiri matokeo ya mwaka huo tulilazimika kufungua chuo na kuanza masomo ya mwaka wa tatu ili hali matokeo ya mwaka wa pili hatuna. Yaliletwa baadae na kuletea watu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania University Admission Results 2020

    Nimeona... ahsante
  10. B

    JamiiForums Tanzania University Admission Results 2020

    Vipi KCMC jamani tayari?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa mambo kadhaa kuhusu SUA

    Chief kupeleka mtoto wa mwaka wa kwanza mtaani tena haswa anaetoka form 4 au 6 ni jaribu kubwa.Naamini hawezi kushindwa kukaa na wenzie watatu kwenye chumba kama ni mTanzania mwenzetu, aende azoee mazingira kama kupanga anaweza kupanga 2nd semester.
  12. B

    JamiiForums Tanzania University Admission Results 2020

    Kuna chuo ulichaguliwa??
Back
Top Bottom