Mmmh dadangu,sijui mwenzangu uko ktk dini gani,ila maneno ya Mungu yanatufundisha,"ndoa na iheshimiwe na watu wote".Najua huyo asiyeheshimiwa(maana ameshindwa kuheshimu mke wake mwenyewe na ndoa yake mwenyewe)anajaribu kukuvuta kwa ahadi mbovu za hutapata shida wwe na mtoto wako,ila dada...