Recent content by BEAUTIFUL WIFE

  1. B

    JamiiForums Tanzania Jukumu la kulea watoto ni la nani ktk ndoa

    U are blessed! DON'T HUNT WHAT YOU CAN NOT KILL.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wenye watoto nje ya ndoa!

    You made my day! Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  3. B

    JamiiForums Tanzania Najiuliza saana!! why she Introduce me as brother to her?

    Sema kama bado unampenda basi ,
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kuweni watii kwa waume zenu ili kulinda ndoa zenu.

    Like wise Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  5. B

    JamiiForums Tanzania This goes to all men

    What do you mean?
  6. B

    JamiiForums Tanzania This goes to all men

    Hivi ni kweli kwamba mkeo akiwa mjamzito lazima utafute mwanamke nje mwingine kwa jina maarufu kama kimada au inategemea na tabia ya mwanaume mwenyewe?????
  7. B

    JamiiForums Tanzania bora iwe hivi

    Yaani kwakweli kuolewa na mtu uliyemzidi Elimu ni natizo sana , actually mimi sijasoma sana nina ka degree kamoja though am planning for my masters , mume wangu ni form six ,lakini utakuta mpo kwenye maongezi ya kawaida utasikia unaambiwa yaani wewe Elimu yako haijakusaidia , oooh hajausomeje...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwani nil lazima kusachi suruali ya Mumeo!?

    Well said Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  9. B

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy S4 Kufungua Kurasa Kwa Macho

    Kuuliza sio ujinga hivi galaxy 3 na 2 ipi ipo juu maana tulikuwa tunabishana na watu tukakosa conclussion
  10. B

    JamiiForums Tanzania Concept ya uvumilivu katika Ndoa.

    Kujitambua ni muhimu sana
  11. B

    JamiiForums Tanzania Concept ya uvumilivu katika Ndoa.

    Hivi hii concept ya uvumilivu huwa ina maana gani katika ndoa au mahusiano? Imagine mwanume ameshaku cheat na wanawake kama nane hivi na unawajua na ni wa uhakika sio wa kuhisi (still bado upo unavumilia) hao ndo unaowajua pia kuna wale usiojua kabisaaa! This ni within six years since umemjua...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wake zetu na Ma Housegirl

    Nakumbuka kuna rafiki yangu kipidi tunasoma tukawa na mjadala wa sisi kwa sisi kuhusu wafanya kazi yeye akasema once akija kuwa na mfanyakazi kama atakuwa anakosea atakuwa ana mpiga , Mis treatment ya house girls ni tabia tu mtu , na hii ni inaweza ikasababishwa na stress alizo nazo mama...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tulifanya for funny sasa anataka kujenga kibanda

    Kwanini wanaume mnatutumia kama vyombo jamani? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Back
Top Bottom