Recent content by beartha m

  1. beartha m

    JamiiForums Tanzania TANZIA Michael Ngaleku Shirima mmiliki wa Precision Air afariki dunia

    Lakini huo ndo ukweli bro, it's true wote tunapita tu tajiri au maskini
  2. beartha m

    JamiiForums Tanzania Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

    Honestly mlikosea kusogezana na mimba juu mwaka mzima hukwenda ata kujitambulisha, lakini pia ungejaribu kumchunguza binti na kujua aina ya familia anayotoka. kama ni wachawi si ndo umekwisha bro..
  3. beartha m

    JamiiForums Tanzania Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

    Dah, unaroho ngumu sana mkuu
  4. beartha m

    JamiiForums Tanzania Ladies Talk: Kufuatia kisa cha Mbuta Nanga

    Hao mastaa ni kama cha wote, so nikama wanaogopeka ivi
  5. beartha m

    JamiiForums Tanzania According to your Ex, what was your main problem?

    Inaashiria hamna chako hapo
  6. beartha m

    JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta pande fulani hivi Buhongwa

    Pole sana mkuu kwa yaliyokukuta asee
  7. beartha m

    JamiiForums Tanzania JamiiForums ya Maxence Melo imenipatia mume. Clepatina naolewa

    Haha[emoji1787][emoji1787] hongera sana mkuu
  8. beartha m

    JamiiForums Tanzania Hivi ukimla kuku aliyeng'atwa na nyoka mwenye sumu, unaweza kufa?

    Hahaa[emoji23][emoji23]
  9. beartha m

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Sitosahau alichonifanyia daktari wa saratani ya matiti

    Mmh, Aisee ni hatari[emoji91]
  10. beartha m

    JamiiForums Tanzania Wanaume unaweza kuishi chumba kimoja na mwanamke usiyekuwa na mahusiano naye?

    Fanya uhame hapo mkuu, kakae hata kwa mshkaj huku unatafta kodi. Naona hapo kama unajidanganya ivi.
  11. beartha m

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu.

    Pole sana mkuu, unauvumilivu sana.
  12. beartha m

    JamiiForums Tanzania Akikuuliza kwanini akuoe wewe utajibuje?

    Bac anaona akinioa ndo atakua amenisaidia sana, kama hajaona kama nafaa kua mke wake sina haja ya kumueleza, akwende zake.
  13. beartha m

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kusahau mahusiano yangu ya nyuma

    Mwanzo mgumu, but jipe mda, time is the best healer
  14. beartha m

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali, mpenzi wangu ana mimba

    Lea mimba hio mkuu, kwan mwanzo hukuona hizo kasoro?
Back
Top Bottom