Recent content by BEAH NUTRI-FLOUR

  1. BEAH NUTRI-FLOUR

    Nauza unga wa lishe

    Oops sorry...ni Ulezi, Soya, Mahindi ya bisi, Mbegu za maboga na Karanga mamy!
  2. BEAH NUTRI-FLOUR

    Nauza unga wa lishe

    Hello dears... Ndugu zangu waislamu Ramadhani ishanukia, na kama tunavyojua mfungo wake uji buana tena wenye iliki kdg, pilipili manga, tui la nazi na manjonjo mengine[emoji39][emoji108] Sii waislamu tu hata ndugu zng wakristo tunaofunga unashauriwa kutumia kimiminika cha moto pale unapofungua...
  3. BEAH NUTRI-FLOUR

    Nahitaji nafaka kwa jumla, nipo Mwanza

    Asante sn..nitatembelea maeneo hayo kujua zaidi
  4. BEAH NUTRI-FLOUR

    Nahitaji nafaka kwa jumla, nipo Mwanza

    Kwanzia kilo50.. Bei ni shngp?
  5. BEAH NUTRI-FLOUR

    Nahitaji nafaka kwa jumla, nipo Mwanza

    Hello wadau.. Mm ni mkazi wa mwanza nilikua nauliza pakupata nafaka kama ulezi, soya, mahindi ya bisi na karanga kwa jumla.. (Hata mbegu za maboga pia!) Anayejua plz anijuze na bei kabisa.. Asanteni
  6. BEAH NUTRI-FLOUR

    Nauza unga wa lishe

    Hello wapendwa... Beah Nutri- Flour inawatangazia kuwa wamepatikana mawakala dar na znz kwahiyo kwa wale wateja wetu wa unga wetu wa lishe wasiliana na mawakala kujipatia bidhaa yetu bora kbs.. Pakti ni 5000 tu.. Namba za mawakala Dar ni 0715318721 / 0767318721 na Zanzibar tupo Darajani...
  7. BEAH NUTRI-FLOUR

    Vijana wanaotaka kujiajiri huu uzi unakuhusu!

    Je unataka kujiajiri lakini hauna wazo ufanye biashara gani? Je una mtaji kidogo chini ya 100,000? Je wewe ni mchapakazi na muaminifu? BEAH NUTRI-FLOUR inajihusisha na uuzaji wa unga bora wa lishe wenye mchanganyiko wa ulezi, soya, karanga,mbegu za maboga na mahindi ya bisi... Tunapatikana...
  8. BEAH NUTRI-FLOUR

    Ushauri: Jinsi ya kujiari

    Nzr tu dada..plz njoo inbox tuyajenge!
  9. BEAH NUTRI-FLOUR

    Nauza unga wa lishe

    Habari wapendwa? BEAH NUTRI-FLOUR inapokea oda kubwa kwaajili ya mashule, misiba, maofisi, sherehe na kadhalika... Sisi ni waandaaji na wauzaji wa unga bora kabisa wa lishe kwaajili ya watu rika zote. Mchanganyiko ni:- Soya, Ulezi, Karanga, Mahindi ya bisi na Mbegu za Mabiga... Tunapokea oda...
  10. BEAH NUTRI-FLOUR

    Nauza unga wa lishe

    Habari wapendwa? BEAH NUTRI-FLOUR inapokea oda kubwa kwaajili ya mashule, misiba, maofisi, sherehe na kadhalika... Sisi ni waandaaji na wauzaji wa unga bora kabisa wa lishe kwaajili ya watu rika zote. Tunapokea oda kwa bei nafuu sana.. Njoo tufanye biashara na hutojutia! Tunapatikana Mwanza...
  11. BEAH NUTRI-FLOUR

    Natafuta mawakala mikoa yote Tanzania

    Hello dears, Mm ni muuzaji na msambazaji wa bidhaa yetu pendwa ya unga wa lishe uitwao BEAH NUTRI-FLOUR. Ninatafuta watu waliotayari kusambaza bidhaa hii mikoa yote na kwa kianzia cha mtaji mdogo tu, mtu anaehitaji kujiajiri au kuongeza kipato.. Ninapatikana mwanza, kwa maswali au jinsi ya...
  12. BEAH NUTRI-FLOUR

    Nauza unga wa lishe

    Hbr wapendwa mm ni muuzaji na msambazaji wa bidhaa iitwayo BEAH NUTRI-FLOUR, unga huu unamchanganyiko wa soya, karanga,mbegu za maboga,ulezi na mahindi lishe. Ni mzuri kwa watoto kwanzia miez6+ na rika zote, ni mzuri pia kwa wazee na wagonjwa wa kisukari na presha. Ujaribu unga wetu leo...
  13. BEAH NUTRI-FLOUR

    Nauza unga wa lishe

    Unga wetu unaitwa BEAH NUTRI-FLOUR wenye mchanganyiko wa Soya, Ulezi, Karanga, Mahindi Lishe na Mbegu za maboga. Unga huu una virutubisho muhimu kwaajili ya kuboresha afya ya mwili na ni mzuri kwa kila rika na wagonjwa pia, hata mwenye kisukari na presha anatumia bila shida. Tuko mwanza lakini...
Back
Top Bottom