Kuweni makini na iris insurance agency

Kuweni makini na iris insurance agency

Kuweni makini na huyu mtu anaitwa, (Ezekiel Ephraim kachare) ni tapeli kampuni yake ni(IRIS INSURANCE AGENCY) alitangaza kazi.. baadae akatuita kwenye interview.. tena tukatoka mikoan baada ya mda akatuita kwenye training,, hamna malipo wala nini Ile tarehe ya kuanza kazi ikapita kila siku anatupiga kalenda kazi kesho.. Na kazi yake kukutumia tumtafutie wateja wa bima malipo hamna.. Mwsho wa siku katukimbia na simu hapokei kabisaa ivi kweli ni uungwana?, watu tumeaga kwetu tumepata kazi na wazazi wakafurai... Sasa kwa anayemjua amfikishie taarifa atulipe ata ela ya nauli turudi kwetu.[/

Huyo n Wa kuweka ndan tu,vinginevyo itakua kama kucheza mpira uwanja Wa mashindano
 
Kuweni makini na huyu mtu anaitwa, (Ezekiel Ephraim kachare) ni tapeli kampuni yake ni(IRIS INSURANCE AGENCY) alitangaza kazi.. baadae akatuita kwenye interview.. tena tukatoka mikoan baada ya mda akatuita kwenye training,, hamna malipo wala nini Ile tarehe ya kuanza kazi ikapita kila siku anatupiga kalenda kazi kesho.. Na kazi yake kukutumia tumtafutie wateja wa bima malipo hamna.. Mwsho wa siku katukimbia na simu hapokei kabisaa ivi kweli ni uungwana?, watu tumeaga kwetu tumepata kazi na wazazi wakafurai... Sasa kwa anayemjua amfikishie taarifa atulipe ata ela ya nauli turudi kwetu.
 
Mlifanya Homework kwanza kabla ya kupanda gari mpaka kufanya interview ?

Insurance Brokers | Tanzania Insurance Regulatory Authority
 
Kuweni makini na huyu mtu anaitwa, (Ezekiel Ephraim kachare) ni tapeli kampuni yake ni(IRIS INSURANCE AGENCY) alitangaza kazi.. baadae akatuita kwenye interview.. tena tukatoka mikoan baada ya mda akatuita kwenye training,, hamna malipo wala nini Ile tarehe ya kuanza kazi ikapita kila siku anatupiga kalenda kazi kesho.. Na kazi yake kukutumia tumtafutie wateja wa bima malipo hamna.. Mwsho wa siku katukimbia na simu hapokei kabisaa ivi kweli ni uungwana?, watu tumeaga kwetu tumepata kazi na wazazi wakafurai... Sasa kwa anayemjua amfikishie taarifa atulipe ata ela ya nauli turudi kwetu.

Nilikua nina mpango wa kukulipa ila kwa sababu umekuja kunitangaza huku ndio sikupi ng'oo
 
msemo wa wakongwe wa jf *** ukiona unaitiwa fursa jua wewe ndio fursa yenyewe** naona huu msemo unaendelea kuleta maana ya great thinkers. Pole mkuu pambana usonge mbele usirudi kijijini kupoteza muda.

Asante mkuu
 
hii inafanana na PCYSO ya mwanza yaan watu kibao tumetapeliwa
 
Kuweni makini na huyu mtu anaitwa, (Ezekiel Ephraim kachare) ni tapeli kampuni yake ni(IRIS INSURANCE AGENCY) alitangaza kazi.. baadae akatuita kwenye interview.. tena tukatoka mikoan baada ya mda akatuita kwenye training,, hamna malipo wala nini Ile tarehe ya kuanza kazi ikapita kila siku anatupiga kalenda kazi kesho.. Na kazi yake kukutumia tumtafutie wateja wa bima malipo hamna.. Mwsho wa siku katukimbia na simu hapokei kabisaa ivi kweli ni uungwana?, watu tumeaga kwetu tumepata kazi na wazazi wakafurai... Sasa kwa anayemjua amfikishie taarifa atulipe ata ela ya nauli turudi kwetu.
Duh poleni sn
 
Mimi najiuliza saa nyengine mtu anakwambia changamkieni fursa ya hiki au kile. Fursa nyingi uwe na mtaji hata mdogo tu.wengine wanapenda kujaribu ila tatizo hela unakuwa huna
 
Back
Top Bottom