Recent content by bea ndetura

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwa hili wanandoa wa Jf "mpone" kwa Jina la Yesu Kristo

    Hivi mchungaji unaposema unachati kwenye jf nyakati unapokuwa job kiwandani unataka kutueleza kwamba muda wa kazi ndio unachati? Sasa kuna tofauti gani wale wanado ambao muda wa kulala wao wanachati?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Je, gari yenye spidi 240 inapitwa na ya spidi 180?

    Hata wewe ni wale wale! Mleta mada hajaeleweka maana gari inaweza kuwa na speed 240 lakini ikapitwa na yenye speed 120 kwa vile hii ya speed 240 inakimbia say 90km/h na huyu wa speed 120 anakimbia 100km/h unategemea nini hapo? Lazima anaetembea 100km/h ampite anaetembea 90km/h
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nini kimemsibu Anne Kilango?

    Mkuu unashangaa. Siasa za bongo Ukiwa point A hufai kabisa wewe ni mchafu najisi (unfit for human consumption) lakini ukihamia point B wewe uko msafi halali kabisa! Jamaa alisema hawa jamaa nawajua vizuri sana ni wezi wa kura lakini msihofu nyinyi lindeni kura za wabunge lakini zangu (urais)...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nusrat Hanje: Viongozi wa CHADEMA hamjamtendea haki huyu dada, amedhurumiwa na hii si sawa

    After all kwani ni lazima afanye siasa? Atafutage na shughuli nyingine ya kufanya
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kuna faida gani kuwatengea wanawake "Viti maalum" 110 vya ubunge?

    Ushabiki wa vyama nimekoma aisee! Watu waliumizana kwenye kampeni na wengine walikufa kwa kukanyagana huko Morogoro lakini wengine wachache wanapenya kiulaini! Really politics ni mchezo mchafu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Umesahau jumbo jipya LA MABWEPANDE
  7. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli akacha Mahojiano ya BBC

    Hivi akitaka kusema: "NASEMA SITAWAANGUSHA " in English atasemaje? Maana jana jipya
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mke wangu muda wote ni kulala

    Umesema kila kitu (majukumu) amemwachia beki 3? Ana mwonekano gani huyo mdada? Kama yuko vuzuri mwache shemeji aendelee kulala
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

    Hii ndio tofauti ya MBUNIFU na MTENDAJI
  10. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli ashindwa kuhutubia baada ya kuzomewa

    Nadhani kwa wapiga mbizi. Aibu!
  11. B

    JamiiForums Tanzania Zikiwa zimebaki siku tano, Home Shopping Centre yasitishwa uwepo wake

    Kiinglishi bana! Teh teh! Hivi liquidator ni mnunuzi au mfilisi? Tusaidieni wasomi
  12. B

    JamiiForums Tanzania Zikiwa zimebaki siku tano, Home Shopping Centre yasitishwa uwepo wake

    Ambae ni.......L.O.W.A.S.S.A
  13. B

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa mheshimiwa Freeman Aikael mbowe

    Kwani unaposema hukubali kuiacha familia yako yatima unaona una msaada wowote kwao?(familia yako) Tangu lini kulakulala akawa na msaada kwa wengine zaidi ya mzigo! Koroboi!
  14. B

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Huyu mtoa mada sijampata kabisaa! Analalamikia nini? Maana kichwa cha habari anasema tujadiliane lakini mwisho wa siku anacomment mwenyewe! Shule bana!
  15. B

    JamiiForums Tanzania Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    Nani alishaenda huko akarudi?
Back
Top Bottom