Recent content by be unique

  1. be unique

    JamiiForums Tanzania Nimehitimu Masters ya Usimamizi na Utawala, natafuta kazi

    Sijasoma sana ila namshukuru Mungu nina kibarua....nazidi kuwa mzito wa kufikiria kuongeza elimu kama mtu mwenye masters analalamika ajira
  2. be unique

    JamiiForums Tanzania Unajua athari na jinsi ya kujiepusha na matumizi ya Bangi?

    Andiko lako bado halijakizi heading yake.....sijaona namna ya kuacha.
  3. be unique

    JamiiForums Tanzania Ukienda Mjini kutafuta Maisha hakikisha unafanya haya

    Hakika hujapoteza muda kuandika.
  4. be unique

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa na mpenzi wako mchukulie kama Malaya ili siku ukija mfuma usiumie sana

    Kama ndio baba wa binti?
  5. be unique

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Viwango vya hisia na mihemko katika kila ngazi za mahusiano ya kimapenzi

    Umejitahidi sana kuweka heading nzuri ila ndani ni utumbo tu (ngono sana)
  6. be unique

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ilikuwaje mara ya kwanza ulipokutana na mtu mliyechati mtandaoni kwa nia ya kuwa wapenzi?

    Hongera sana mpaka sonona hujapata... maana ni zaidi ya kutesana kisaikolojia.
  7. be unique

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya miaka 60 ya muungano na idadi ndogo ya mahudhurio uwanjani, nini tatizo?

    Muda mwingine tusitumie mihemko kujadili kitu, kwa akili ya kawaida unaona mvua ipo.
  8. be unique

    JamiiForums Tanzania Tujadili kidogo kuhusu baadhi ya tabia ambazo watu huziona za kawaida ila zinakera sana

    Nilichogundua wewe ni mtu ambae unaelewa maana ya ustaarabu na jinsi ya kuishi katika mazingira. Lakini ukweli mchungu ni kuwa upo katika kundi la kiswahili ambalo sio level zako.
  9. be unique

    JamiiForums Tanzania Twende Mbele turudi nyuma, umasikini ndio mtaji mkuu wa CCM

    Ujinga na umaskini.
  10. be unique

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

    KUPANGA NI KUCHAGUA.
  11. be unique

    JamiiForums Tanzania Nachukiwa na bosi wangu bila sababu

    (Kiuhalisia imefika mahali Sasa ,nataka kwenda kumloga huyo basi wangu mana naona chuki zimezidi kupita kiasi) Sasa hii ndio ilikuwa point yako ila sehemu nyingine ulikuwa unatafuta uhalali tu.
  12. be unique

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chaguzi mbili kuu pale unapogundua mkeo anakusaliti

    Hili nalo inabidi tulitazame kwa makini.
  13. be unique

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume jitahidi kujua msimamo wako kiimani na usimame nao kabla hujaingia kwenye ndoa

    Nilitaka kucomment kabla ya kusoma ila baada ya kusoma nimepata wazo zuri. Kiukweli awa wababa wa kiroho sio poa sasa hivi na wanawake wanavyomezeshwa ndivyo wanavyokula, ni muhimu sana kuwa na msimamo wa kiimani.
  14. be unique

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Men Code

    Ndio maana wanaume tunakufa mapema na nyumba tunawaachia wanawake.
Back
Top Bottom