Recent content by bBusneM

  1. bBusneM

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji28][emoji28][emoji28] Baada ya kukosoa sana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. bBusneM

    Paka mkubwa kuliko wote duniani

    Humalizi robo ? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. bBusneM

    Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

    Alafu huyu mpuuzi aneona kurekodi mambo ya ndani ni kitu cha kawaida hivi ni wakiume kweli huyu? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. bBusneM

    Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

    Hata Mimi heshima yangu imeshuka sana aisee kweli hawa wasanii wetu sijui huwa wanakwama wapi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. bBusneM

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    legend Sent using Jamii Forums mobile app
  6. bBusneM

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    rudia kusoma tena alafu usisome Kwa mihemuko tuliza akili Sent using Jamii Forums mobile app
  7. bBusneM

    Jamaa ameamua kumtumikia Mungu ,ameachana na uchafu

    jamaa kala papuchi sana aisee huyu sio wa kwenda mbinguni yani akae kundi moja na yohana mbatizaji? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. bBusneM

    Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

    kuna watu watatoboa kama vita itakuwepo pia kuna mataifa yatakua dona kantry kama vita itakuwepo pia kuna kuna sisi tunataka tu zipigwe kuleta heshima so inategemea upo kundi gani Sent using Jamii Forums mobile app
  9. bBusneM

    Uingereza yalaani shambulio la Iran

    jamaica huku tunapiga cha arusha tu mambo ya vita hatuna habari nayo Sent using Jamii Forums mobile app
  10. bBusneM

    Uingereza yalaani shambulio la Iran

    sisi tunataka kiwake mambo ya Mungu nenda kanisani huko acha watu waonyeshane ubabe Sent using Jamii Forums mobile app
  11. bBusneM

    Uingereza yalaani shambulio la Iran

    ngoma bado mbichi nasimmama na waajemi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. bBusneM

    Uhitaji wa soko la mahindi na maharage Morogoro

    Unauza au Unanunua? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. bBusneM

    Hivi UKIMWI hubagua wa kuambukiza?

    upungufu wa kinga mwilini hauambukizwi Sent using Jamii Forums mobile app
  14. bBusneM

    Tuambie jinsi ulivyompata mwenzi wako

    Jamaa katulisha chai hii hata hio kodi aisee 2004 hadi 2008 hio kodi ni kubwa sana Kya mwezi Sent using Jamii Forums mobile app
  15. bBusneM

    Pandora box ( Sanduku la Pandora)

    [emoji28][emoji28][emoji28]huu uzi hatari Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom