MH. RAIS SAMIA ANAHITAJI WATENDAJI WA DHATI KIVUKONI KIGAMBONI NA MANISPAA KWA UJUMLA
Umati ni mkubwa.
Kivuko kimoja tu ndio kinachofanya kazi
Muda wa kusubiri ni zaidi ya Saa moja
Hasara ni kwa kutokuwa Wabunifu...
Ongezeni ,Tengeni Ma-bus kadhaa kwa huduma ya VVIP zenye Kadi Maalumu ...Mbezi Kivukoni 3000/=
Ubungo - Posta 2000/=
iwe ni Level Seat- Express
Tutayaacha Magari Nyumbani
Hasara ni kwa kutokuwa Wabunifu...
Ongezeni ,Tengeni Ma-bus kadhaa kwa huduma ya VVIP zenye Kadi Maalumu ...Mbezi Kivukoni 3000/=
Ubungo - Posta 2000/=
Level Seat
Tutayaacha Magari Nyumbani
Wamasai hao waondoke, na ni Lazima...
Linapokuja suala la Maslahi ya Taifa ,Ardhi Mmiliki wake Mkuu ni Rais kupitia Kamishna wa Ardhi Kama Kuna wanaopaswa kulipwa Fidia na iwe hivyo.
Tatizo suala hili ndani yake Kuna wanasiasa wananufaika nalo
Leo Tar 20 May 2021 kuanzia Majira ya Asbuhi Magari ya Abiria maarufu kama Daladala Yaendayo Kigamboni Kupitia Daraja kuu la Kigamboni (Mwl.Nyerere) Yamegoma kufanya Safari zake kutoka Kigamboni hadi Karume Ilala kupitia Kilwa Road.
Sababu ni Kupinga kuhamishwa kwa Kituo kikuu cha Mabasi hayo...
Kwa kuwa Aliyekuwa akijibizana na DC alikuwa akitumia mdomo ktk Mazingira Yale ya Majibizano
swali
Kwanini asingeambiwa Tuliza Mdomo, na Akaambiwa Atulize Matako
Swali pili
Kilicho kuwa kinaleta bughudha kwa wakati ule ni mdomo au Matako
Sioni Faida ya TLS kama wanashindwa kuwa na nguvu ya kuwashawishi au kuwaeleza wabunge madhara ya Sheria zinazowadhuru Raia
...Sheria Bodi ya Mikopo
..... Sheria ya Udhibiti wa Vyombo vya habari (2015)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.