Rais Samia aondoka Dar kuelekea Zanzibar kwa Mapumziko ya Sikukuu

Najua mama yetu atakuwa na muda mwingi wa kusoma mada zetu hapa jamiiforum....acheni tuendelee kusaga kunguni Kwa Alli happi najua mama akimaliza mapumziko anakuja kutoa kafara nyingine Kwa Alli happi
Umeandika hii post, ili Hasitekeleze hilo ulilo na wasiwasi nalo....Post yako ya Kimkakati
 
Back
Top Bottom