Recent content by bayayi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Adui namba moja wa wa wakulima ni hivi vitu vinaitwa vyama vya msingi na vyama vya ushirika

    Akili ya mtu mweusi haiwazi kuendelea bali inawaza namna yakurudishana nyuma ebu fikiria mfumo wa toka enzi za awamu ya kwanza mpaka leo hatujajua madharake na bado tunautukuza na tunaamini utakomboa wakulima.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Watayarishaji wa Kipindi cha EFM cha Ripoti ya leo mnahakikishaje simulizi zinazoletwa ni za kweli?

    Pole kama ulikuwa hujajua kuwa ni stori za kutunga.Nilisikilizaga stori tatu tofauti bila hata kuuliza mtu nikahitimisha kuwa ni stori za uwongo uongo tu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mlituchagua sasa kaeni kimya

    'Mkishatupigia kula'...... Maanake nini hii?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hongereni AZAM, Naona leo mmeachia ITV ktkt kisimbuzi chenu

    hii ni lugha gan meko!!unawadhalilisha walimu wako
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Ajabu: Nimewaona Wafanyabiashara wa Tanzania wamekuja Kampala kununua Bidhaa za China

    Usishangae kusikia hao wenye hizo mbinu chafu ni wasomi waliosomeshwa kwa fedha za serikali huko ughaibuni,tusitegemee maendeleo tusijdanganye
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Askari wasio na vyeo wa JWTZ wanaweka sare kwenye siti za magari yao hasa wanapokuwa sehemu za Starehe?

    gari lake sare pia ni zake usiumie mkuu, na ungejua jinsi anavoztumikia kwa nidhamu izo sare hata hii mada usingeleta humu
  7. B

    JamiiForums Tanzania Watoto wanaotumika Kupokea Viongozi

    wewe kwani? Jesca kashamaliza shule?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Zitto: Serikali ya Magufuli imekopa zaidi ya tril 3 toka uswisi kufadhiri SGR na Stiglers yenye riba kubwa

    una tatzo kichwan yaani mkopo wa Zito unaulinganisha na wa serikali kukopa na kufanya deni la taifa lipae! vp deni la Zito limeifkisha wap deni la taifa?ona aibu mda mwingine
  9. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara, Kamishna Mkuu TRA na RAS wa Njombe. Apokea gawio la Airtel la miezi mitatu, Tsh. Bilioni 3

    kama msomi wa kiwango kile anongea utumbo kama ule kweli tunategemea maendeleo?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tusijisahau Arusha City wenyewe wanaitwa Waarusha!

    unatuchanganya kwahiyo wamasai umewaweka wap
  11. B

    JamiiForums Tanzania NEC/Serikali wasipotii kufutwa wakurugenzi kusimamia uchaguzi nini kitatokea.?

    halafu mtu Fulani anasimama nakutuambia mahakama,bunge ni mihimili inayojitegemea.Mda mwingine tuache kujiuliza haya maswali eti kwann sisi ni maskini halafu wazungu wameendelea,sababu ndiyo hizo
  12. B

    JamiiForums Tanzania Vita R Kawawa, mtoto wa Muasisi wa Taifa anayekula jeuri yake!

    Hata sisi tunahangaika vilevle.Mbona unamwonea huruma kwani yeye ndiyo mtanzania pekee anayepaswa kupewa kula?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kitwanga: Hadi sasa bado najiuliza tuna Serikali ya namna gani. Kama miradi ya umeme wa Stiegler's Gorge, na reli ya kisasa SGR inachukua nusu bajeti

    Sidhani kama anamaanisha.Siyo mda mrefu atawekwa katika lile kundi la wabunge wenye nongwa wa chama fulani
  14. B

    JamiiForums Tanzania Polepole: Wabunge wa CCM wenye nongwa kukatwa 2020

    Awamu pekee ya watu wanaotumia akili kukiona cha moto.Kwa hali hii tutegemee viwanda?
Back
Top Bottom