Recent content by BAVARIAN

  1. BAVARIAN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa warembo wa chuo ni hatari sana!

    Kaka kweli mbaraka keshamaliza hapo
  2. BAVARIAN

    JamiiForums Tanzania Kwa kikosi hiki, Brazil wasipobeba Kombe la Dunia naachana na mpira na JamiiForums natoka kabisa

    Wambie kaka German hskuna mbwembwe kule n kaz kaz
  3. BAVARIAN

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    834kj operation miaka 50 ya muungano
  4. BAVARIAN

    JamiiForums Tanzania FIFA World cup 2018

    Mara paaap June hii hapa, again kazi kazi kama kawaida ya timu, watu, hata mashabiki wenyewe huwa hakuna mbwembwe German fans tupo. Ujerumani hawa jamaa nawakubali xana cio watu wa mbwembwe nyingi ni kazi kazi nawapa nafasi kubwa ya kutwaa kombe, hili wapo na vijana wengi wadogo ambao wanaweza...
  5. BAVARIAN

    JamiiForums Tanzania Natafuta partner kuwekeza katika sports betting tips

    Kaka
  6. BAVARIAN

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa waliofanikiwa kufika 2018 wakiwa hai

    We nyoko nn
  7. BAVARIAN

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa waliofanikiwa kufika 2018 wakiwa hai

    Kwa hyo?
  8. BAVARIAN

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sina cha kuongeza kaka we jembe na una mtazamo positive hii kwangu ni kama biashara Leo napata kesho nakosa lkn pia si tu biashara Bali ni biashara ninayoipenda yaani ni mtu was soccer pia nabet kwa ninachokijua mfano for real jana niliweka multibet ya mech normal mechi 5 za odd 2.6+ kwa 2000...
  9. BAVARIAN

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Cjakuelewa pointi yako kwamba haiwezekani ama,,fafanua acha matusi
  10. BAVARIAN

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nishughuli mm mwenyewe zile nilijipnda wiki nzima kaka
  11. BAVARIAN

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sawa coz kushinda nako game 13 sio mchezo ,,,kuhusu bahati nako siamini mie naamini katika kuchambua na kuona nani anaweza kushinda
  12. BAVARIAN

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau wiki iliyopita kuna jackpot moja ya sportpesa nilipga game 11 xaxa wiki hii nimechafukwa nataka kupga zote ebu tubadilishaneni uzoefu hapa ujue nimezipania
  13. BAVARIAN

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Fanya maamuzi ikibidi aache tu,,manake nikutiana umaskini
  14. BAVARIAN

    JamiiForums Tanzania Wana JF msaada mkopo wa haraka wa kifedha wa sh 1.7M

    Upande gani
  15. BAVARIAN

    JamiiForums Tanzania Baba hataki ni beti

    Kama hoja zenyewe ndo hiz , maendeleo kupata ni vgumu sana mtu unamuuliza X anakujib Y unashindwa kuelewa hawa watu hapo xawa kweli
Back
Top Bottom