Recent content by Battle ntiho

  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na wageni mashuhuri duniani

    Ungesoma kwa kutulia ungemuelewa alichomaanisha
  2. B

    JamiiForums Tanzania Najitoa... CHADEMA Najiunga... CCM

    Duuh,kiongozi salute kwako
  3. B

    JamiiForums Tanzania Najitoa... CHADEMA Najiunga... CCM

    Kiongozi umemsoma jamaa ukamuelewa?Au ndo mkurupuko style.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atinga bandarini, ashangaa vichwa vya treni kushushwa na kukosa mwenyewe

    Kilichozungumziwa ni vichwa vya treni na si mabehewa kiongozi,kuonyeshwa kwa mabehewa kwenye habari hakumaanishi kuwa ndicho alichokuwa anazungumzia rais,
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Rais Magufuli ni wa hali ya juu

    Nafikiri umeshindwa kujua kuwa urais ni taasisi,kwa uelewa wako unadhani ni yeye ndo anapanga aina ya ulinzi wake?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atinga bandarini, ashangaa vichwa vya treni kushushwa na kukosa mwenyewe

    Hivi kilichozungumzwa ni vichwa vya treni kwa maana ya locomotive au mabehewa kama unavyotaka kutuaminisha hapa
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wasomi zaidi ya 100 wamejaa Nyumbani kwa Lowasa Dodoma asubuhi hii

    Mkuu bado unasimamia haya maneno yako?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Prof. Ndalichako alimsahau RC Makonda au alimaanisha nini

    Mkuu ungepunguza utoto ungekuwa bora zaidi ya hivi
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya makamu wa raisi wa jamhuri ya muungano na raisi wa zanzibar nani mkubwa?

    Kiitifaki makamu wa rais yupo juu ya rais wa Zanzibar,na ndio sababu ata katika dhifa za kitaifa(Muungano)rais wa Zanzibar anafika kabla ya makamu wa rais.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki na Waziri Mwakyembe waongea na waandishi wa habari

    M Mkuu usizungumze kiurahisi hivyo kwa kuwa upo nyuma ya keyboard,huwezi jua watekaji wamempa masharti gani ya kuwezesha kumfunga mdomo,usitake akufurahishe wewe kwa kutamka unachokifikiria huku yeye akiteketea.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Unapomsafisha Lowassa wasafishe na hawa

    Tujifunze kuweka akiba ya maneno,huu ni unafiki wa kiwango cha juu kabisa
  12. B

    JamiiForums Tanzania Gwajima anaendelea kumshikia bango Makonda, adai amekimbia nchi kama Magufuli alivyotabiri

    Leo pia hajaonyesha vyeti vya Daud alivyodai kuwa anavyo?
  13. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuzungumza na Waandishi wa Habari leo Makao Makuu ya Chama

    Nimejikuta nacheka peke yangu kwa hii comment yako,wewe kweli stroke.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kipanya leo: Uchaguzi Kati ya DHAIFU na DIKTETA, watu wanachagua DIKTETA

    Ndio uone kuwa Watanzania hatujui tunataka nini
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kipanya leo: Uchaguzi Kati ya DHAIFU na DIKTETA, watu wanachagua DIKTETA

    Vipi ndugu,bado upo na msimamo huo huo?
Back
Top Bottom