Recent content by batmanwafez

  1. batmanwafez

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki inauzwa bei nafuu, imetunzwa vizuri

    Nipo mwanza mkuu....naipataje?
  2. batmanwafez

    JamiiForums Tanzania Soko la kuku wa nyama

    Bei gani?
  3. batmanwafez

    JamiiForums Tanzania Pata Jezi za msimu mpya

    Uzi wa chelsea upo?
  4. batmanwafez

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Hii hali imemtokea mwanangu....naomba kujua dawa yake maana anakohoa balaa
  5. batmanwafez

    JamiiForums Tanzania Pata Jezi za msimu mpya

    Nataka jezi ya arsenal ya msimu uliopita! Bei ghani km ipo?
  6. batmanwafez

    JamiiForums Tanzania IT kwa Tanzania ni kituko. Inakuwaje ni nadra kuwakuta waliotajirika? Hawazioni Fursa au ni watupu?

    Nimesikitika sana kwenye kutaja kwako hujamtaja boss wa jamiiforum.... Naamini hii platform ipo successful sana na ni numero uno hapa bongoland.
  7. batmanwafez

    JamiiForums Tanzania Tunaofanya Mazoezi tukutane hapa

    Mwanzo ni mgumu ila unaweza kuanza na kupunguza vyakula vyenye sukari na mafuta. Tuseme umefanya mazoezi asubuh hapo lazima uwe na njaa ya kutosha na kawaida mwili utalazimisha ule sana ushibe urudishie ulipotoa. Kunywa chai na viazi au mihogo yani kwa kifupi epuka mafuta mafuta kama...
  8. batmanwafez

    JamiiForums Tanzania Tunaofanya Mazoezi tukutane hapa

    Yani mazoezi na chakula vinaenda pamoja kwenye kupunguza mwili. Ukiwa na nidham ya chakula na ukafanya mazoez lazima tu upungue hata km kuna mkono wa mtu. Punguza vyakula vya sukari, pombe hata sukari kwenye chai, juice n.k kwa kuanzia na uwe na ratiba yako ya chakula na mazoezi bila kukosa.
  9. batmanwafez

    JamiiForums Tanzania Bashiri matokeo ya mechi ya USM Alger Vs Yanga na ulambe elfu tano

    HT: 0-0 FT:1-0
  10. batmanwafez

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba/Mume

    Ila nikikumbuka zile pisi zilikuwa zinasoma engineering mmmh basi tu yatapitaaa
  11. batmanwafez

    JamiiForums Tanzania Kitanda kinauzwa

    8 inches
  12. batmanwafez

    JamiiForums Tanzania Kitanda kinauzwa

    Bila shaka na ww ni msabato pia
  13. batmanwafez

    JamiiForums Tanzania Kitanda kinauzwa

    Ndio kwa 80,000 bila punguzo. Ungechukua vyote tungeongea nikakupunguzia bei. Nicheki 0742 967 288 tuongee
  14. batmanwafez

    JamiiForums Tanzania Kitanda kinauzwa

    Halal kwa halal
Back
Top Bottom