Pata Jezi za msimu mpya

Pata Jezi za msimu mpya

Ajaxi wana uzi mkali sana....

Wale wa Manchester United, Manchester city na Real Madrid naonba tuendelee kuwa wavumilivu.

Mzigo ulikwama njiani but kila kitu jopi sawa na ndani ya next week utawasili .

Ajax
IMG-20230613-WA0003.jpg


Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • IMG-20230613-WA0003.jpg
    IMG-20230613-WA0003.jpg
    143.4 KB · Views: 13
PUNGUZO LA BEI

Sasa Jezi za timu zote za nje bei yake ni Tsh 20,000/= kwa rejereja.

Kunzia jezi 5 na kuendelea, bei ni Tsh 17,000/=
na ukichukua jezi zaidi ya 30 Bei itakuwa Tsh 16,000/=

NB:
Jezi ya Manchester United Bei ni Tsh 20,000/= kwa rejareja, na Tsh 17,000/= kwa jumla

Karibuni
Mzigo upo wa kutosha.
 
Jezi zetu zina ubora wa hali ya juu, hatuuzi malonya.
20230612_134218.jpg
 
Kwa hapa Dukani muda huu zipo za Buyern munchen, Arsenal, Liverpool na Barcelona.

Ila kesho za Man U zitakuwepo, mzigo mkubwa unagika kesho.

Karibu sama, uzi ni mzuri.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mjep
Jezi tayari zimefika Dar


Mkuu si unazo zote home&away??
Kuna boss wangu ananinunulia double double.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom