Recent content by Bateko

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nauliza ni kwanini mpaka leo vyuo vikuu Afrika Kusini hawasomi bure?

    Jamani lazima tufahamu kuwa hizo reference ziliitwa hivyo baada ya watu kuthubutu, tukiendelea kuishi kwa reference na copying system kamwe hatutaweza kuwa huru kifikra.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Bao la mkono tume ya uchaguzi nec yagoma kutoa nakala tete softcopykwa upinzan mnyika atoa siku tatu

    Kama Mnyika ni Mwanasiasa uchwara Lusinde atakuwa nani!?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Sitasoma tena gazeti la Mawio

    mbn sawa tu ila nadhani ungesubiri uone toleo lijalo litahusu nn na hata hivyo siasa its like any other game. relux
  4. B

    JamiiForums Tanzania Sasa najiunga na ACT Tanzania

    Naona bado mnaishi kwenye fikra za CDM kwani ukamanda ndio asili yake nashauri mtafute jina lingine la hamasa waachieni CDM na jina lao
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya kinyama yapelekea wananchi wenye hasira kuchoma nyumba na magari - Olasiti, Arusha

    Olasiti jamaa ni watemi sana na hapo wanaamini katika dawa zao
  6. B

    JamiiForums Tanzania Pigo la tatu kwa Lowassa, bado la Mwisho mwezi Mei

    Napata uchungu na kinachoipata Tanzania
  7. B

    JamiiForums Tanzania ShyRose Banji mitaani na bodaboda, ni mtu wa WATU?

    Sasa tumeukaribisha ujangili live
  8. B

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mbeya kama kijiji

    andreakalima, Kila mkoa ulipewa hadhi ya jiji kwa vigezo maalum, co majengo, huyo dereva taxi inaonyesha ulimwelekeza akupeleke hapo. Cku nyingine ukienda kwenye majiji jaribu kugoogle nice hotel kupunguza usumbufu. Ukija tena Mby next tym nijulishe nikutembeze maeneo kwa saa moja co Dar ambako...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Israel yamzawadia Mwalimu Mwakasege kwa huduma yake

    Kupitia yeye ulimwengu unaishi ukiwa na hofu ya Mungu. Hongera mwl Mwakasege na Mungu akubariki uendelee kuifanya kazi yake
  10. B

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kiatu chako chaweza kukuambia umri wako?

    Namba ya kiatu sawa but ya umri kidogo hapako sawa!
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hatimae Wananchi kuamua n muundo upi wa Muungano wanaoutaka.

    Tukijadili muundo wa serikali moja au tatu; tuwekane wazi kuwa Warioba hakufanya kitu kwani kwenye rasimu yake kasema 3 na ndo maoni ya wachangajiaji kwa nini hilo swala lisingerudi kwetu tukalipigia kura kama tunataka au la?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Sijaona mwanaume mwenye vigezo vya kunizalisha, Walio wengi ni matapeli

    Afahamu kuwa umri hausubiri
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kama unahitaji king'amuzi bora nunua hiki

    Mby vp vitafunction? Channel gn za mpira zinapatikana humo?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka amsifia Tundu Lissu bungeni, amshauri rais Jk ampe uwaziri wa katiba na sheria!

    Hilo ni jembe tangia mwanzo, Sema time will tell ambapo kila mmoja atamkubali
Back
Top Bottom