Antena ya startimes haiwezi kufanya kazi?bei 85000 kama una antenna, antena 20000 waya 15000 karibuni wakuu!
Wakati huu mfumo wa digitali unaanza kuingizwa nnchin, baadhi ya viongoz wa serikali walisema "hatutaona ule utitiri wa Antena ambao unachafua mandhari ya miji".
Nitakielewa king'amuzi (kisimbuzi) kile tu chenye kudaka mawinbi kupitia dish (satelite) tu. Hivi vya kutumia antena vinavyochagua mahali ulipo, kuelekezea antena cjui wapi, mara kwny milima sijui unatakiwa ufanyaje, I will not entertain and I would like my fellow tanzanians not to entertain them.
Challenge kubwa ya hivi visimbuzi vinavyotumia dish ni mbili tu:
Moja gharama (Ingawaje sio kubwa sana mana havipishani sana na vinavyotumia antena) na Mbili ni kwa wale wanaoishi kwenye nyumba za kupanga (hususani nyumba za kupanga zilizo na wapangaji wengi) kuwa na wakati mgumu wa kupata mahali na ruhusa ya ku-install hilo dish.
Yote kwa yote dish ndio mpango mzima, hawa wa antena wabadilike sasa. Chalenges are everywhere.
This is my opion, sorry mwenye uzi huu kama nimekuaribia biashara.
Ving'amuzi vingi vimekuwa ni kero kwa watanzania wengi, ila wana jf jaribu kununua king'amuzi cha sansan hakika hauta jutia, ina mfumo wa hdmi port, usb port, na utapata chanel zaidi ya 40 bila malipo ya mwezi baadhi ya chanels unazopata ni km itv,eatv,emmanuel tv,star tv,tbc,chanel 10,saudia, aljazera,capital na zinginezo, jaribu kugoogle (sansan receiver) utaona kwa maelezo zaidi waweza piga namba 0686 100071 au 0656 153151 kwa maelezo zaidi