Mfamasia wa Tanga kwanza nikupongeze kwa majibu yako ya kizalendo. Pili nadhani umejionea mwenyewe huyu aliyeleta taarifa kaingia mitini hasemi jina la kituo chake ili MSD wakihudumie nahisi alikuwa katumwa kuichafua taasisi ya watu sasa anashindwa kusema... nadhani itakuwa vema wananchi...
hawezi kuandika details zote hizo kwa kukurupuka ATAJE kituo tuuu hilo lalamiko lishughulikiwe kwani anaona shida gani kutaja anaficha nini yeye si ameandika ili apate suluhisho la shida ya wananchi? au kaandika kuiabisha MSD?
Kweli kabisa AKITAJE kituo kama kweli ana nia ya kuokoa maisha ya wananchi... wakuu na watendaji wa taasisi zote nchini siku hizi wanafuatilia mitandao ya jamii akitaja tuu jina la kituo huduma inapelekwa fasta maneno maneno marefu yanakatika na Mungu aliyemsukuma kuandika humu atambariki milele...
Yaani nakuona unajizungusha tuu na maneno mengi unatoa data aambazo hutaweza kuhudumiwa na kutatua tatizo la wananchi unaodai unawawasilisha. TAJA JINA LA KITUO HICHO ili uwawezeshe MSD kutatua hilo tatizo ulilosema kama sio majungu TAJA JINA.
kwa namna ulivyojitahidi kumtetea inaonekana mpo katika status moja na wewe huenda nichapombe na mzugaji kama yeye. jamaa anahitaji msaada sio mtu wa kumtetea kwa ulivyoandika hapa wote mpo kwenye denial stage. jamaa kachoka na anakimbia watu wote wa maana, atajohook na mtu anaetaka kumtapeli na...
huyu mtu nimemuona zaidi ya mara tano mahali kwenye ofisi ya umma, ana makovu kama mtu alienguka na pikipiki, amechakaaa, ananuka pombe, na inasadikiwa ni mwandishi kanjanja.
Hivi wewe unafiki kwa kutumia nini? matope? unaona watumie njia gani kuifanya serikali iwajibike? sina haja ya kurudia madai yao hapa hata mtoto alieko tumboni anayajua... na yanaweza kumalizwa kwa serikali yako kuingia mikataba yenye akili na kuboresha maisha ya watanzania na INAWEZEKANA kama...
hivi wewe unaona nani anauonea onge huyu mama kwa hio CV isiyoeleweka haina muunganiko imejaa gaps ambazo hazina maelezo... tatizo la watu wengi anataka walale waamke wakiwa maDr. mapROF NK. HAYO MAMBO HAYAJI KWA KUFUMBA NA KUFUMBUA maisha ni a proces na lazima uyafanyie kazi kuweza kujustify...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.