Recent content by Baso

  1. Baso

    Je, rais Magufuli kabadilishiwa Walinzi? Hizi sura sijawahi kuziona!

    nenda kawasogelee utaelewa tu
  2. Baso

    Ndoto zangu za kuwa TISS zinafifia na umri unanitupa mkono

    Sio rahisi kihivyo kuwa PSU ni sahihi
  3. Baso

    Promotion za leo jeshini zimenistua

    Sawa mkuu wa komandi
  4. Baso

    Promotion za leo jeshini zimenistua

    Genaral huanzia hata kwenye u brigedia mzee,mana hata brigedia nae ni general na gari yake ina nyota 2 ,meja genaral ni general nae pia
  5. Baso

    Hongera Rais kwa usajili wa alama za vidole, ila tambua kwamba haupo salama!

    Upo sahihi kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Baso

    Katavi: Muuguzi ambaka Mjamzito aliyekwenda hospitali kwa ajili ya kujifungua

    Upo sahihi jamaa inawezekana kasingiziwa mwanamke anayetaka kujifungua kwanza anatia kinyaa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Baso

    Katavi: Muuguzi ambaka Mjamzito aliyekwenda hospitali kwa ajili ya kujifungua

    Huyo jamaa namjua sidhani kama anaweza kufanya hivyo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Baso

    Natafuta rafiki wa kike

    fresh
  9. Baso

    Natafuta rafiki wa kike

    mimi ni kijana wa miaka 28,nimeajiliwa mchamungu,mcheshi,mkarimu,muelewa naomba ani Pm
  10. Baso

    Inauzwa sony experia z5 dual

    Nitumie picha kwa whatsap niione 0716398659 Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Baso

    Inauzwa sony experia z5 dual

    Hiyo simu bado ipo ? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Baso

    Clinical Officers wanalipwa kiasi gani?

    mshahara wa CO ambaye yuko tamisemi ni 680,000,ila akiwa serikali kuu mshahara ni 120000 Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Baso

    Kubadilishana vituo vya kazi kwa kada ya afya pekee

    Mi nipo nachingwea,Lindi nahitaji mtu wa kubadilisana nae fani yangu AFISA TABIBU ll,mtu aliyeko mwanza,shinyanga,morogoro,bagamoyo,dar tuwailiane DM Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Baso

    Gharama za private candidate for A-Level

    Nipo Dar nataka nirisit kwa ajili ya combi ya Sayansi PCB, nataka kujua gharama za kituo kwa shule za Serikali.
  15. Baso

    Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    uwe unatumia dawa za maumivu tu unatatizo la vichocheo
Back
Top Bottom