Recent content by Bashatu

  1. Bashatu

    JamiiForums Tanzania Looking for Partners+Investors kiwanda cha kuzalisha magari yanayotumia umeme na Gas

    Nimecheka mpaka nikadondosha mnofu wa kuku wa kienyeji, hakika umentia hasara[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Ndugu mleta mada, tuwe wawazi tu kwamba lengo lako kufanikiwa hapa bongo lipe 0.0000001%. Ila cha kukushauri, veta dar wanatengeneza magari ya gesi (walionesha sabasaba) . Kama...
  2. Bashatu

    JamiiForums Tanzania Mwili uliokufa kuweza kurudishiwa uhai ndani ya maabara kubwa

    Hivi wwanapata wapi pesa za kufanya research kama hizo?
  3. Bashatu

    JamiiForums Tanzania NMB nao waja na punguzo la riba toka 22%-19%, wakati CRDB wameshusha toka 21%-17%

    Wakitangaza hii fursa nishtue
  4. Bashatu

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Kilimo 2018/2019: Serikali ya CCM haina dhamira ya kuendeleza kilimo na haina Mpango na Wakulima

    Duuuh wapi huko? Bora sisi angalau 30,000
  5. Bashatu

    JamiiForums Tanzania Vodacom yatangaza faida ya shilingi 170 bilioni

    Ununuzi wa hisa wa kusubiri gawio la mwaka ni biashara kichaa, lakini kama ananunua anasubiri bei imeongezeka hata 20 anauza, then anasubiri ishuke ananunua na kuuza ikipanda huyo mtu atapata faida kubwa tu
  6. Bashatu

    JamiiForums Tanzania Zitto: Gharama tunayotumia kuagiza mafuta ya mawese $m 240 ni zaidi ya ghrama tunayotumia kuagiza magari

    Duh. Lakini......hata sisi pia wananchi tuna makasoro meengi. Sio kila kitu ni serikali.
  7. Bashatu

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Kasome kitabu cha 17 strategies of trading Forex ...... Cha Mario Au kagoogle website ya babypips.
  8. Bashatu

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya benki ni wizi uliokomaa, nimetozwa riba ya 81% kwa miaka 6

    Vipi anayenunua gunia la njegele kwa 50,000 akaenda kuliuza kwa 120,000 atapata salama mbele ya Mungu?
  9. Bashatu

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Syria ilirusha makombora 56 Israel 47 yaliishambulia Israel.Netanyahu atangaza hali ya hatari

    Lakini Mkuu Humble African unadhani USA inamsapoti Israel sababu ya dini ama ni kwa sababu ya rich but secret Jewish families?
  10. Bashatu

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya benki ni wizi uliokomaa, nimetozwa riba ya 81% kwa miaka 6

    Pole sana, ila hapo ni bahati mbaya kwa kupata gari bovu. Ungepata safi na biashara ikachanganya usingejuta. Kiukweli kuna mkopo mzuri unaokulipa na kujilipa wenyewe na kuna mkopo mbaya unaokufilisi. Usichoke kwenda bank kama umeona fursa
  11. Bashatu

    JamiiForums Tanzania Zitto: Gharama tunayotumia kuagiza mafuta ya mawese $m 240 ni zaidi ya ghrama tunayotumia kuagiza magari

    Na mawese yanayostawi mikoa ya kagera, kigoma, rukwa, tabora Zanzibar tumeshindwa kulima. Sijui sisi tunaweza nini
  12. Bashatu

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa ambao tumeshawahi kuwapa kichapo wake/ wapenzi au mademu zetu

    Hii nadhani ni sahihi. Wanawake wahaya ni wababe. Ndo maana mwanaume wa kihaya akishatoka uhayani 80% wataoa makabila mengine sio wenzao.
  13. Bashatu

    JamiiForums Tanzania Songwe: RC awaomba waliohamishia biashara zao Zambia kwa kushindwa kulipa kodi warejee nchini wazungumze...

    Ila angalau kajaribu kushawishi. wengine bado wanaamini kila mfanyabiashara ni mwizi. Tutafika tu
  14. Bashatu

    JamiiForums Tanzania Bongo move nusu yao ni hamunazo

    Sasa hapo si alizirai vidole vimejikunja hahaaaa. Niliacha kitambo kuangalia bongo movies
Back
Top Bottom