Mwili uliokufa kuweza kurudishiwa uhai ndani ya maabara kubwa

Francis3

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
489
1,629
cryonic preservation company wamekuja na wazo la kuhifadhi mwili wa mtu kwa joto la chini sana kwa matumaini kwamba utarejeshwa na teknolojia ya baadaye na utakuwa hai tena. Lakini je, cryonics inaweza kuwa njia halisi ya kurudisha uzima, katika siku zijazo?

Wakati mtu ametangazwa kuwa amekufa kisheria, cryonic preservation company walifahamishwa na hutoa timu ya kukabiliana na jaribio la kuweka damu ya mtu ikimzunguka mwili wake. wakati Mwili wa aliyekufa umewekwa kwenye barafu na mwili unafanjiwa injection ya kemikali mbalimbali kwa jaribio la kupunguza kuganda kwa damu au damu kuharibu ubongo.

Mara baada ya mwili kufikia point wanayoita cryonic facility mwili unakuwa umepoa juu ya maji na damu huondolewa na kuwareplaced na organ preservation solution. Mishipa ya damu ya mwili inawekewa cryoprotectant solution ili kujaribu kuzuia ice crystal formation kwenye organ na tissues na baadae maiti hupoozwaa mpaka -130C. Hatua ya mwisho ni kuweka mwili ndani ya chombo kinachoshuwa kwenye tangi la liquid nitrojeni, kept at -196C.
upload_2018-5-15_12-22-50.jpeg

Takwimu za hivi karibuni zinaonyesha kuwa karibu watu 150 wamehifadhiwa miili yao katika liquid nitrojeni nchini Marekani, huku 80 wamekuwa na vichwa vyao au akili zilizohifadhiwa. Hata hivyo, kuna watu zaidi ya 1,000 wanaoishi ambao wamewaagiza makampuni ya kuhifadhi miili yao baada ya kifo chao.

Kwa nini watu wengine wanafikiri inaweza kufanya kazi?

Cryonic preservation enthusiasts wanasema kuna sababu mbili za kuwa na matumaini.
Kwanza, licha ya shirika linalohitajika kusubiri mgonjwa kutamkwa kisheria kuwa amekufa kabla ya kuhifadhiwa, wanasema kuwa uharibifu wa ubongo unaweza kupunguzwa kwa kuhakikisha kuwa viwango vya oksijeni kinakuwa maintained.

Pili, kupunguza joto la mwili ili kupunguza chemical activities katika seli na tishu ili kuzuia uharibifu wowote wa mwili.

mwisho, wakati uharibifu unavyopelekwa kwenye mwili kuwa wa baridi na ugonjwa wowote au kuzeeka wahusika ndio maana wanapata mateso wakati wa kufa ila wakati mwingine uharibufu hauharibu cell zote na huu uharibifu hauzuiliki, wanatarajia kuwa nanoteknolojia ya baadaye inayoweza kuwa na uwezo wa kutengeneza hili.

Ni matatizo gani ambayo wanasayansi waligundua?

Ikiwa mtu amepozwa chini -5C maji ndani ya seli zao huganda na kuunda fuwele za barafu. Kwakuwa barafu ni less denser kuliko maji ,barafu huchuchukua nafasi zaidi. Hivyo fuwele za barafu husukuma kuta za seli na kusababisha uharibifu mkubwa.

Cryonic preservation facilities hujaribu kuzuia hili kwa kutumia mchakato unaojulikana kama vitrification. This replaces some of the body's water with cryoprotectant agents, in an attempt to reduce the amount of ice crystal formation.

Bado hakuna ushahidi kwamba tunaweza vitrify viungo vya binadamu. Daktari wa kisayansi Dr Dayong Gao kutoka Chuo Kikuu cha Washington, Seattle, alisema: "Tunajua tunaweza kufanikiwa vitrify mambo madogo sana kama wadudu na tishu rahisi kama mishipa ya damu .. Hii ni kwa sababu ukubwa wa mwili lakini mwili mdogo hufanya urahisi kudhibiti baridi na cryoprotectants . "
Je! Mwanadamu anaweza kuishi tena?

Ikiwa wanasayansi wakifanya kazi moja kwa moja na kufanikiwa kuu cryopreserve mwili mzima wa mwanadamu , bado kuna suala la gumu jinsi gani wataurudisha uishi na ni nafsi gani itauvaa huu mwili japokuwa mpaka sasa kuna tetesi zinaonesha asilimia kubwa wameshaweza kuu cryopreserve mwili.

Dk. Gao alisema: "Hata kama wataweza kupunguza uharibifu kwa kutumia cryoprotectants, swali linabaki la jinsi wataziondoa hizo solution salama mwilini na kuweka damu."

Prof Ken Storey, kutoka Chuo Kikuu cha Carleton huko Ottawa, Canada alieleza.

"Tuna viungo vingi tofauti na tunajua kutokana na utafiti kwenye kuhifadhi viungo vya kupandikiza ambavyo inawezekana, kufanikiwa vizuri, kila kimoja kitahitaji kupozwa kwa kiwango tofauti na kwa mchanganyiko tofauti na mkusanyiko wa cryoprotectan
soma na hiizi
Russian cryogenics firm wants to freeze people BEFORE they die so they can be stored in containers and one day brought back to life
43BC90FE00000578-4839688-image-m-22_1504174447381.jpg

43BC910C00000578-4839688-image-a-18_1504173930121.jpg

43BC911700000578-4839688-image-a-20_1504173953130.jpg

43BC911E00000578-4839688-image-a-21_1504173960849.jpg

swali je watafanikiwa kuirudusha miili iishi au umepata information kuwa wanasayansi wamefikia wapi juu ya hili swala?

mimi jibu langu nasema hawatafanikiwa ila nikuachie wewe mwanajamvi udadavue pia.

pitia na huu uzi unaodhibitisha kwa kiwango kikubwa kuwa
Prooved and comfirmed Witchcraft are actual Physicist
 
Wakifanikiwa nami nigandishwe niuone mwaka 400000
si rahisi kuna mamilion ya seli na zote zinasurvive kwa temperature tofauti je unafikiri hata kujaribu kuiweka neurone moja iishi ni kazi ndogo?
hii hapa ndio gharama yake
Charges at the Cryonics Institute, where the girl has been stored, start at around $35,000 (£28,000) to 'members' for whole-body cryopreservation. The girl was charged £37,000, which may include costs such as transportation. Rival group Alcor charges $200,000 (£161,000) for whole-body preservation.
 
Inaweza wakaweza ndugu mwanadamu usishindane nae kamwe hasa hawa wazungu. Wao hawawazi watakula nini au wata laa wapi kwa hatua waliopiga usiwadhanie kushindwa.

Mwanadamu wa kale nimrod aliwaza kumfikia Mungu na Mungu akaona anaweza kufika kweki akamuwahi sasa hawa wa leo unadhani watashindwa kweli hali ya kua muangaza nuru yupo kazini anaangaza.
 
fact.....usibishane na nanotechnology,,,ile technolojia ni mwisho aise,,kuna mambo mengi yanafanyiwa test ikiwemo la mtu kukaaa mwezi mzima bila kura na tayari wameshaanza kufanikiwa kwa hilo huko Australia ,,,,,wamecheza na satient center kwenye brain na wamefanikiwa kwa hilo sema hawajaanza kuweka wazi...yani ukiona wametoa article flani juu ya jambo fulani ujue ilimeshafikiwa tamati au bado kidgo tu ila washaona possible outcomes ya jaribio hilo,,,wenzetu wapo very makini kwa tafiti na huwa wakiona negative result juu ya kitu flani wanabun kimya kimya utafit ule bila hata kuuambia ulimwengu kuwa wameprove failure..so inawezekana kabisa...ukitaka kuamini zaidi soma kitabu cha physics of the future written by michio kaku ndo utaelewa kuwa hilo jambo linaenda kufanikiwa kwa 100% kabsaaa,,,mimi sibishi aise i believe the outcome
 
Kweli kabisa mkuu , maadam uzima upo ngoja tuone yatakayo tokea. Yakayo yanafurahisha usemi wa voda.
 
Kweli kabisa mkuu , maadam uzima upo ngoja tuone yatakayo tokea. Yakayo yanafurahisha usemi wa voda.
tupo wakati wa quantum technology yani scientific analysis are in molecular level of realim ndo mana kila linalofikilika linawezekana....kama wanaweza tengeneza virus anaeweza kucease life of an organism watashindwaje kurudisha uhai wa baaadhi ya viumbe hai,,? CALFONIA INSTITUTE OF TECHNOLOGY wana project kubwa ya kutengeneza progeny za cell zinazoreprogress brain cells na kufanya brain cell zisife ,,na hiyo project imefundiwa pesa ndefu balaaa kufanikiwa hizo na tayar wamefanikiwa kutengeneza cell eating cancered cells tayri kuanza kuwapandikizia watu ambao wana cancer mbalimbali...yani magonjwa makubbwa yashapatiwa ufumbuzi...yani wapo sehemu nyingine kabsa hawa jamaaaa,,,siwabishiiiiii,,yani tafit zao zipo under molecular level
 
fact.....usibishane na nanotechnology,,,ile technolojia ni mwisho aise,,kuna mambo mengi yanafanyiwa test ikiwemo la mtu kukaaa mwezi mzima bila kura na tayari wameshaanza kufanikiwa kwa hilo huko Australia ,,,,,wamecheza na satient center kwenye brain na wamefanikiwa kwa hilo sema hawajaanza kuweka wazi...yani ukiona wametoa article flani juu ya jambo fulani ujue ilimeshafikiwa tamati au bado kidgo tu ila washaona possible outcomes ya jaribio hilo,,,wenzetu wapo very makini kwa tafiti na huwa wakiona negative result juu ya kitu flani wanabun kimya kimya utafit ule bila hata kuuambia ulimwengu kuwa wameprove failure..so inawezekana kabisa...ukitaka kuamini zaidi soma kitabu cha physics of the future written by michio kaku ndo utaelewa kuwa hilo jambo linaenda kufanikiwa kwa 100% kabsaaa,,,mimi sibishi aise i believe the outcome
kidogo umetoa maelezo yenye sense ila inawezekana kwa viumbe wadogo kama insect ila si kwa mwanadamu kwa sababu mwanadamu wakati anataka kukata tu roho tayari kiwango kikubwa cha cell zinakuwa zimeshaharibiwa je muda ambao daktari anatumia kudhibitisha kuwa huyo mtu amekufa cell ngapi zitakuwa zimekwisha haribika hapo mwisho ongezea na muda wa kuuprocess huo mwili cell zitakuwa tayari zimekufa nyingi mno hivyo si rahisi kufanikiwa
Mshana Jr
 
listen broo ten bora umekuja,,,ni hivi madaktari wamefikia asilimia 85% ya kujua how human brain operates but kuna sehemu ndgo san bado zinaumiza vichwa hasa kujua ni part ipi ya brain inayocomand automatic myocitic death[ cardiac death] yani kila kitu kipo under control within the body,,,human cell has billions of genes that control the cell functions including gene inayocommand automatic cell death...wakishaigundua hiyo kuwa ipo location ya ngapi kwenye DNA kwisha habari yako hakutakuwa na automatic cell death.....ikishagundulika ni gene ipi tayar watapandikiza kwenye brain censor firing signal ambazo zitaprocess cell death sequence before some few seconds na ndipo brain itaweka negation ya kuruhusu automaticity cell death kwa cancel out firing signals .....inawezekana kabsaa mkuuu
 
kidogo umetoa maelezo yenye sense ila inawezekana kwa viumbe wadogo kama insect ila si kwa mwanadamu kwa sababu mwanadamu wakati anataka kukata tu roho tayari kiwango kikubwa cha cell zinakuwa zimeshaharibiwa je muda ambao daktari anatumia kudhibitisha kuwa huyo mtu amekufa cell ngapi zitakuwa zimekwisha haribika hapo mwisho ongezea na muda wa kuuprocess huo mwili cell zitakuwa tayari zimekufa nyingi mno hivyo si rahisi kufanikiwa
Mshana Jr
mpaka sasa kuna challenge kwenye kuzuia kifo but challenge inakuja kwa sababu bado hawajaigundua ile gene inayocomand automatic cardiac cell death,,,ila ikishajulikana ipo kwenye allocation namba ngap kwenye DNA sequence tutakuwa na uwezo wa kuzuia isiruhusu cell death kwa kudetect sequence changes before the action line......tayar kuna research imefanyika ya kugundua genes zote zilizopo kwenye DNA sequence ya cell,,,wameiweza kudetect normal genes and abnormal genes,,kwa mfano tayri tushajua kuwa gene inayoprocess abnormal sugar metabolism na kufanya mtu apate kisukari[diabetic mellitus] tayri ishajulikana na muda si muda wataifanyia for up,pia gene inayocomand aotomatic over proliferationya cell kusababisha cancer tayir ishajulikana ipo location ya ngap kweny DNA kwa hiyo ile research imekula matirioni ya pesa kuscan whole DNA gene sequence na tayari familia chache tajiri duniani zimefanyiwa DNA gene sequence analysis kubaini kama kuna mwanafamilia ameinherit abnormal gene ya ugonjwa wowote ili wazuie wasije pata mtu mlemevu badae kwenye familia hiyo,,,,,,,tukifanya DNA gene sequence analysis tutakuwa na uwezo wa kudetect abnormal genes within the DNA gene sequence na kupredict kuwa baada ya miaka flani huyu mtu atakuja kuwa na ugonjwa fulani kwan abnormal genes za magonjwa yote tutakuwa tunazijua.....so keeep waiting how nanotechnology is going to fantasy the universe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom